KULIKONI UGHAIBUNI-64Asalam aleykum,Juzijuzi zimepatikana taarifa kuwa serikali ya Uingereza ina mpango wa kuchunguza mimba kabla kinamama hawajajifungua ili kubashiri tabia ya “vichanga” vitapozaliwa.Hii sio habari nyepesi nyepesi,bali ni taarifa za kweli ambazo ziliandikwa kwenye magazeti na kuonyeshwa kwenye runinga.Kuna kitu kinaitwa “police state” ambacho kwa lugha nyepesi ni kwamba serikali inaingilia uhuru wa mwananchi kupita kiasi,inataka...
Wednesday, 30 May 2007
Friday, 18 May 2007
Asalam aleykum,Siku chache zilizopita nilikuwa na mawasiliano ya barua-pepe na “webmaster” wa gazeti la Mwananchi kuhusu namna tovuti yao inavyoendeshwa.Katika barua yangu pepe ya kwanza nilimfahamisha kuwa kuna habari zinazokinzana kwenye ukurasa mmoja kwenye tovuti yao.Habari moja ilikuwa ikisema kuwa pambano la bondia Matumla huko Afrika Kusini limeahirishwa kwa vile mpinzani wake amezidi uzito.Lakini chini ya habari hiyo kulikuwa na habari nyingine...
15:31
Unknown
No comments
Asalam aleykum,Waumini mbalimbali wa dini ya Kihindu hapa Uingereza wametishia kutengeneza “mnyororo wa binadamu” (human chain) ili kulinda maisha ya ng’ombe aitwaye Shambo ambapo kwa imani ya waumini hao ng’ombe ni kiumbe kitakatifu. Ng’ombe huyo ambaye ana umri wa miaka 6 amehifadhiwa kwenye makazi yake huko magharibi ya Wales, na hivi karibuni aligundulika kuwa na kifua kikuu (TB) hali ambayo ilizilazimisha mamlaka zinazohusiana na mifugo kuamuru...
Saturday, 5 May 2007
KULIKONI UGHAIBUNI-61Asalam aleykum,Hapa Scotland kuna mrindimo wa furaha kwa chama cha Scottish Nationalist Party (SNP) ambacho kwa namna flani kina mrengo wa kujitenga kutoka katika himaya ijulikanayo kama the United Kingdom au UK.Chama hicho kimefanikiwa kukibwaga chama kilichokuwa tawala cha Labour na hivyo kuvunja historia ya takriban nusu karne ya utawala wa chama hicho cha Tony Blair.Moja ya kete ambazo zilikuwa zikitumiwa sana na Labour “kuipiga...
Subscribe to:
Posts (Atom)