Ziara ya Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, nchini Tanzania imeambatana na tatizo la lugha, ambapo kiongozi huyo amekuwa akihutubia hadhara mbalimbali kwa Kichina pasipo mtafsiri wa Kiswahil...
Thursday, 26 June 2014
Wednesday, 25 June 2014
22:58
Unknown
RAIA MWEMA
No comments

Serikali imetangaza kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa MAJENEZAKWA kila anayefuatilia makala zangu kwa karibu hatashindwa kubaini kuwa moja ya vyanzo vya mada za makala hizo ni kwenye mijadala mbalimbali ya mitandao ya kijamii, hususan twitter. Mara kadhaa nimekuwa nikipata cha kuandika katika...
Friday, 13 June 2014
Breaking news: Bomu laua mmoja na kujeruhi kadhaa Zanzibar usiku huu (TAHADHARI YA PICHA ZA KUTISHA)
16:31
Unknown
No comments

Tunaomba radhi kwa picha hizi ambazo ni graphic. Tumejitahidi kuficha sura ya marehemuMwili wa mtu aliyeuawa kutokana na shambulio hilo la bomuMtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la bomu karibu na msikiti huko Zanzibar. Kwa mujibu wa polisi, shambulio hilo lilitokea katika...
Wednesday, 11 June 2014
22:17
Unknown
CCM, UFISADI
No comments

Wakati taarifa zinatanabaisha kuwa nchi yetu ipo hoi kifedha, huku deni la taifa likizidi kupaa, na serikali ikikuna kichwa kutengeneza bajeti ya kueleweka kwa mwaka ujao wa fedha, haya ndio matumizi ya viongozi wajuu wa chama Tawala CCM CHANZO: Jamii ForumsNakuachia wewe msomaji na kila...
Subscribe to:
Posts (Atom)