KULIKONI UGHAIBUNI-60Asalam aleykum,Miongoni mwa habari ambazo zinatikisa kwa sasa hapa Uingereza ni dhamira ya mjukuu wa Malkia,Prince Harry,ya kutaka kwenda kwenye uwanja wa vita huko Irak.Harry ambaye kwa sasa ni afisa katika jeshi la nchi hii ameonyesha bayana kuwa lazima aende kushiriki kwenye vita hiyo ambayo tayari imeshagharimu mamia ya maisha ya askari wa Uingereza.Wiki iliyopita kulikuwa na tetesi kwamba Harry “alichimba mkwara” (alitishia)...
Sunday, 29 April 2007
08:37
Unknown
No comments
KULIKONI UGHAIBUNI-59Asalam aleykum,Majuzi nimesoma habari flani kwenye gazeti la Daily Mail la hapa Uingereza kuhusu harakati za mwanamuziki wa kimataifa Madonna ambaye tayari amesha “adopt” mtoto mmoja huko Malawi.Inaweza kuwa habari njema kwa mtoto huyo kupata bahati ya kuingizwa kwenye familia ya mwanamuziki huyo maarufu na tajiri kabisa duniani.Nadhani hakuna mmoja wetu sie tulio hohehahe ambaye asingependa kuzaliwa kwenye familia ya vibopa,au...
08:36
Unknown
No comments
KULIKONI UGHAIBUNI-58Asalam aleykum,Kuna habari moja niliyoiona kwenye runinga hivi karibuni kuhusu falsafa ya ushindani huko nchini China imenivutia sana kiasi najiskia “kushea” nawe msomaji mpendwa.Stori hiyo ilikuwa inazungumzia kuhusu binti mmoja wa miaka minane ambaye huamshwa na baba yake kila siku saa 9 alfajiri kwa ajili ya mazoezi ya mbio za marathon.Mazoezi hayo hudumu kwa zaidi ya masaa mawili na sio suala la hiari bali ni sehemu ya maisha...
Friday, 6 April 2007
22:35
Unknown
3 comments
KULIKONI UGHAIBUNI-57Asalam aleykum,Wakati naelekea mtamboni kuandaa makala hii,hatimaye Rais wa Iran ametangaza kuwaachia huru wanajeshi 15 wa Uingereza ambao walikuwa wakishikiliwa mateka na jeshi la Iran.Mgogoro huu ulikuwa umetawala mno kwenye vyombo vya habari vya hapa Uingereza na nchi nyingine za Magharibi.Kwa namna mambo yalivyokuwa yakienda ilikuwa ni vigumu kutabiri nini kingefuatia iwapo Iran ingeendelea na msimamo wake wa kuwashikilia...
Subscribe to:
Posts (Atom)