Wednesday, 27 June 2007

MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU AMINA CHIFUPANi vigumu kuamini lakini ndio imetokea.Bwana ametoa Bwana ametwaaKila mmoja atamkumbuka AminaHasa katika vita yake dhidi ya wauza ungaRest in peace,AminaYatasemwa mengiYakiwamo na ya uzushiHiyo haitusaidiiSana itazidisha hudhuniTumwombee...

Wednesday, 20 June 2007

Asalam aleykum,Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote wanaotembelea blogu yangu.Nina furaha kusema kuwa wakati naandaa makala hii blogu hiyo ilikuwa imeshatembelewa na watu 1015 kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni.Inanipa moyo sana kupata idadi hiyo ya wageni na napenda kuwakaribisha wale wote ambao hawajawahi kuitembelea blogu hiyo.Pamoja na hayo,nakaribisha maoni,mijadala na hata kunikosoa pale ambapo msomaji anadhani haafikiani...

Friday, 15 June 2007

Asalam aleykum,Enzi za Ujamaa na Kujitegemea tulikuwa tukiambiwa kuwa ubepari ni unyama.Bado naamini kuwa kauli hiyo ni sahihi hadi kesho.Nimeikumbuka kauli hiyo baada ya kuona kipindi cha “Witness” kwenye kituo cha runinga cha Aljazeera English ambapo mada ilikuwa maendeleo ya sekta binafsi ya afya nchini India.Nchi hiyo inasifika hivi sasa kwa kutoa huduma bora za afya hasa kwa wageni ambao wanakimbia gharama za afya kwenye nchi zao ili kupata...

Sunday, 10 June 2007

Asalam aleykum,Pengine hii ni tetesi ambayo ungependa kuisikia.Kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair ambaye anastaafu rasmi mwezi huu ana mpango wa “kubadili dhehebu.”Blair ni muumini wa Kanisa la England (Church of England) wakati mkewe,Cherie,ni Mkatoliki.Inasemekana kuwa miongoni mwa ziara za mwisho za Blair akiwa Waziri Mkuu ni kwenda Vatican kukutana na Papa Benedikti,na “wambea” wanadai katika ziara hiyo Blair atajiunga rasmi...

Monday, 4 June 2007

Asalam aleykum,Miongoni mwa mambo niliyozungumzia katika makala iliyopita ni namna “ugonjwa” wa “reality television” ulivyoenea huku ughaibuni.Kwa waliosahau, “reality tv” ni vipindi kwenye televisheni ambavyo hujaribu kuonyesha maisha ya mshiriki/washiriki kwenye kipindi hicho katika hali halisi.Hivi ni vipindi ambavyo kwa mfano hufuatilia maisha ya mwanamke mjamzito kwa miezi kadhaa hadi pale anapojifungua.Au wakati mwingine huonyesha maisha ya...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget