Sunday, 21 September 2008

Kwa Dar es Salaam,na pengine kwingineko pia,sijui utaenda baa gani ambayo hawajafungulia muziki kwa sauti ya juu.Kumbe kuna maelezo ya kisayansi kwanini wenye baa wanapendelea muziki full blast.BONYEZA HAPA kupata undani zaidi.

Hatimaye Thabo Mbeki amejiuzulu urais wa Afrika Kusini kufuatia shinikizo kutoka kwa chama chake cha ANC.Soma HAPA kuhusu rise and fall of Mbeki.Angalia hotuba yake ya kujiuzulu kwa kuBONYEZA HAPA

Baada ya Billy  O'Reilly kuwashikia bango hackers walioingia kwenye  e-mails  za  Sarah Palin,hacker mmoja amedai kwamba amemfanyia kweli mwanahabari huyo kimbelembele.Stori zaidi soma HAPA

Saturday, 20 September 2008

Baada ya kushinda uongozi ndani ya chama chake cha Kadima,kuna dalili kubwa kwamba Tzipi Livni,shushushu wa zamani wa Mossad,anaweza kuchukua cheo cha Uwaziri Mkuu wa Israel,taifa linalofahamika zaidi kwa ubabe.Historia ndefu ya mwanamama huyu inapatikana HAPA

The ANC  Executive Commettee has just finished its meeting with a call for Thabo Mbeki to resign.

UPDATE:Mbeki agrees to resign,according to the Associated Press.



Click HERE to read the story.

Hatma ya Thabo Mbeki katika chama chake cha ANC na nafasi yake ya Urais iko katika hatihati kufuatia  Jacob Zuma kufutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.Soma kwa undani zaidi HAPA 

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget