Baada ya
kushinda uongozi ndani ya chama chake cha
Kadima,kuna dalili kubwa kwamba
Tzipi Livni,shushushu wa zamani wa
Mossad,anaweza kuchukua cheo cha Uwaziri Mkuu wa Israel,taifa linalofahamika zaidi kwa ubabe.Historia ndefu ya mwanamama huyu inapatikana
HAPA
0 comments:
Post a Comment