Pages

Sunday, 21 September 2008

HACKERS WAMFANYIA KWELI BILL O'REILLY

Baada ya Billy  O'Reilly kuwashikia bango hackers walioingia kwenye  e-mails  za  Sarah Palin,hacker mmoja amedai kwamba amemfanyia kweli mwanahabari huyo kimbelembele.Stori zaidi soma HAPA

No comments:

Post a Comment