majaribio2
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, 17 July 2014
Makala yangu ktk RAIA MWEMA Toleo la 16.07.14: "JK: La Muhimu Lipi, Wasanii au Usalama?"
›
NIANZE makala hii kwa kuwatakia ndugu zangu Waislamu mfungo mwema katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani, japo salamu hizi nimechelewa kidogo...
Wednesday, 9 July 2014
Makala yangu ktk RAIA MWEMA: Nafasi na Vikwazo kwa Mh January Makamba (@JMakamba) Urais 2015
›
HATIMAYE mbio za kuelekea Ikulu hapo mwakani zimeanza rasmi baada ya mwanasiasa kijana, Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia na Mbunge wa B...
1 comment:
Thursday, 26 June 2014
Makamu wa Rais wa China ahutubia Kichina, wasikilizaji waambulia patupu
›
Ziara ya Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, nchini Tanzania imeambatana na tatizo la lugha, ambapo kiongozi huyo amekuwa akihutubia h...
Wednesday, 25 June 2014
Makala yangu Ktk RAIA MWEMA Toleo la 25/06/14: Ipo siku watawaliwa wataamua liwalo na liwe
›
Serikali imetangaza kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa MAJENEZA KWA kila anayefuatilia makala zangu kwa karibu hatashindwa kubaini kuwa ...
Friday, 13 June 2014
Breaking news: Bomu laua mmoja na kujeruhi kadhaa Zanzibar usiku huu (TAHADHARI YA PICHA ZA KUTISHA)
›
Tunaomba radhi kwa picha hizi ambazo ni graphic. Tumejitahidi kuficha sura ya marehemu Mwili wa mtu aliyeuawa kutokana na shambulio hilo la ...
Wednesday, 11 June 2014
Habari na picha: Huku nchi ikiwa taabani kifedha, angalia matumizi haya ya vigogo wa juu CCM
›
Wakati taarifa zinatanabaisha kuwa nchi yetu ipo hoi kifedha, huku deni la taifa likizidi kupaa , na serikali ikikuna kichwa kutengeneza ba...
Saturday, 31 May 2014
Usiteseke kimyakimya peke yako: Soma mfano hai wa watu wanakuandama mtandaoni bila sababu (TROLLS)
›
Licha ya kuwa sehemu muhimu za kubailishana mawazo, na pengine kufahamiana na watu mbalimbali, mitandao ya kijamii (social networks) ina upa...
›
Home
View web version