JK Aingizwa Mkenge Mbeya,Apewa Kadi Feki za Chadema
Kama waliweza kuchakachua kadi zao wenyewe kwenye kura za maoni watashindwaje kufoji za Chadema?Na wameshamgeuza sehemu ya kufanyia mazoezi kuzuga kama anavyotabasamu hapo chini kwa kupewa "two hundred thousand USD za $300,000/="!!!!
Hii ni kali. Tunasubiri undani wake.
ReplyDeleteUtawala ovyo ovyo mambo na utendaji ovyo ovyo...Viongozi na uongozi shaghala bagala...Bora liende ndiyo mbiu ya CCM kwa vitendo kwa sasa...
ReplyDelete