Pages

Saturday, 11 February 2012

Katika Umasikini Wetu Tunamudu Vipi Idadi Kubwa ya Viongozi Kiasi Hiki?

Rais Kikwete na Lundo la Mawaziri Wanaounda Kabineti yake ya wababaishaji

Bunge letu linalosheheni walafu mia tatu na ushee ambao licha ya kutugharimu mamilioni kila mmoja wanataka fedha zaidi
Na hii ndiyo hali halisi ya umasikini wetu duniani

No comments:

Post a Comment