Makamu wa Rais wa China ahutubia Kichina, wasikilizaji waambulia patupu
Ziara ya Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, nchini Tanzania imeambatana na tatizo la lugha, ambapo kiongozi huyo amekuwa akihutubia hadhara mbalimbali kwa Kichina pasipo mtafsiri wa Kiswahili.
No comments:
Post a Comment