.jpg)
Mara nyingi kwa wenzetu huku nchi za Magharibi kila jambo linapotokea watu wa kada mbalimbali hujihangaisha kusaka maelezo yanayojitosheleza kuhusu chanzo cha tukio husika na jinsi linavyoweza kuzuiwa mbele ya safari.Ukiangalia nchini Marekani, kwa mfano, mara baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba...