Mimi ni Mtanzania ambaye niko masomoni hapa Scotland.Huwa ninatoa makala katika gazeti la KULIKONI ambalo hutoka kila wiki huko nyumbani Tanzania.Lengo la kuanzisha blogu hii ni kutoa fursa kwa Watanzania wenzangu hususan wale walio nje kuweza kusoma makala zangu ambazo kwa bahati mbaya hadi sasa bado haziko katika mtandao.Pia nadhani blogu hii itatoa fursa ya kuchambua,kujadili,kukosoa na kueleimishana kuhusu masuala balimbali yanayoihusu nchi yetu ya Tanzania.
Karibuni sana.
Karibuni sana.
Karibuni sana waungwana.
ReplyDeletehi dear,haya naona maendeleo sasa..haya utundu huu kakufundisha nani??
ReplyDeletemie mzima..call u later