Thursday, 10 April 2008

Huduma za afya hapa nyumbani ni duni na hazileti matumaini ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania (by the way,tangu nifike hapa sijaona ile hamasa niliyoikuta 2005 kuhusiana na kauli-mbiu hiyo.Sijui imekufa kifo cha asili au imepotea kama Gavana Daudi Ballali!).Hospitali za umma zinaweza kujitetea kuhusu huduma zao mbovu,na utetezi unaweza kuwa ule uliozoeleka:serikali haitengi fungu la kutosha kwenye sekta ya afya,mishahara ya watumishi ni midogo,na mlolongo wa sababu ambapo mlengwa mkuu ni serikali.Lakini haitarajiwi hospitali binafsi,ambazo gharama zake ni za juu sana,zitoe huduma ya chini ya kiwango.Nimeelezea kwa kirefu kuhusu suala hilo katika makala yangu ndani ya toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema.Pamoja na makala nyingine na habari motomoto,bingirika na vyote hivyo kwa KUBONYEZA HAPA

Related Posts:

  • HAWA WANAFIKI NAO VIPI?Does THIS,THAT and THAT make any sense?… Read More
  • HII NDIO TANZANIA YETUTanzania’s future in Manji’s hands? -ROW ERUPTS AFTER CONTROVERSIAL BUSINESSMAN IS TOUTED AS ONE OF NATION’S LEADING ROLE MODELS THISDAY REPORTER Dar … Read More
  • MGAO WA UMEME KURUDI TENA TANZANIAKwa mujibu wa The Citizen,Tanzania itakumbwa na mgao wa umeme wa masaa matano kwa siku kutokana na kuharibika kwa mitambo ya Songas.Let's hope this won't lead to another Richmond-like scam.Lakini pengine huu ni wakati mwafaka… Read More
  • MGAO WA UMEME SASA MASAA 10,HALI HII MPAKA LINI?Picha kwa hisani ya  Chesi MpilipiliShirika la Umeme Tanzania,TANESCO,limetangaza ratiba mpya ya mgao wa umeme ambao tofauti na yale masaa matano ya awali   sasa tatizo hilo litadumu kwa masaa kumi kwa siku.Ni muhimu kuwa tat… Read More
  • MGOMO WA WAFANYAKAZI NMBMgomo wa NMB nchi nzima-Mishahara kuchelewaNa Waandishi Wetu ZAIDI ya wafanyakazi 5,000 nchini wanaochukua mishahara yao kupitia Benki ya National Microfinance Bank (NMB) watalazimika kutolipwa wiki hii kutokana na mgomo wa n… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget