Monday, 21 April 2008

Bilionea mwenye vijisenti,Andrew Chenge amejiuzulu,na Braza Ditto amefariki.Hizo ndizo habari zinazovuma hapa Dar tangu asubuhi.Hii ya kifo cha Ditto niliisikia jana.Na kama ilivyo kawaida,kila mmoja anasema lake ila kwa vile blogu hii si ya udaku,naomba nisiorodheshe conspirancy theories lukuki zinazovuma hapa jijini.Anyway,kuna picha kadhaa nilizozikamata maeneo mbalimbali.Nyingi zinajieleza zenyewe
























KIZA KWENYE PLATFORM YA TAZARA



















HAPO JUU NI CHOO CHA FIRST CLASS CABIN TAZARA

















HAPO JUU NI BUFFET COACH TAZARA



















HUYO UTINGO KAZI YAKE NI KUSHUKA KWENYE FOLENI NA KUWEKA GOGO ILI LORI LISIGONGE MAGARI YA NYUMA.KWA HAKIKA UDEREVA WA BOGNO UNAHITAJI ZAIDI YA LESENI:SALA NA BAHATI NI MUHIMU PIA KUHAKIKISHA UNAMALIZA SALAMA SIKU YAKO BARABARANI.THE SAME LORRY BELOW.




































HAPO JUU NA CHINI NI KIZA KWENYE PLATFORM YA TAZARA.


















HAPO CHINI NI ENEO LA MIZIGO TAZARA






















HAPO CHINI NI KITUO CHA MAFUTA MTANI.VIKO LUKUKI LAKINI BEI INAZIDI KUPAA.INAWEKEKANA ILE KANUNI YA DEMAND NA SUPPLY HAIFANYI KAZI KWENYE SUALA LA MAFUTA!

















BELOW IS A LORRY TO AND FROM HELL

Related Posts:

  • PICHA MBALIMBALI ZA BONGOMASHABIKI WA SOKA WA IFAKARA WAKIFUATILIA MECHI KATI YA TAIFA STARS NA HARAMBEE STARS YA KENYAHUYU NYAU ANAJARIBU KU-GOOGLE NENO "UFISADI"HIKI NI CHOO NDANI YA BEHEWA LA DARAJA LA KWANZA LA TAZARA.EVER HEARD OF A TRAIN FROM/T… Read More
  • PICHA ZAIDI KUTOKA BONGONINA LUNDO LA PICHA LAKINI LEO INTERNET IKO SLOW SANA.KEEP ON VISITING THE BLOG FOR MORE PICS.PICHA TATU ZA CHINI NI KUTOKA HOSPITALI YA MTAKATIFU FRANCIS IFAKARA (KUNA SANAMU YA MTAKATIFU HUYO KATIKA PICHA YA TATU).PICHA YA … Read More
  • HII NDIO BONGOKatika picha hapo chini,treni ikikatiza kwenye railway crossing hapo jana.Almanusura itokee ajali mbaya laitimzalendo mmoja asingemshtua dreva kwamba anaona moshi wa treni kwa mbali.Yaani hakuna namna kwa mwenye gari kufahamu… Read More
  • ADHA YA USAFIRI KIPINDI HIKI CHA MASIKAMakala yangu katika toleo la wiki hii la gazeti la Raia Mwema inaelezea kwa kirefu nightmare niliyokumbana nayo baada ya kuingia mkenge wa kusafiri "first class" ya Tazara.Hiyo ilikuwa wakati naelekea nyumbani Ifakara mkoani … Read More
  • THE BUZZ IN THE STREETS AND MORE PICS FROM BONGOBilionea mwenye vijisenti,Andrew Chenge amejiuzulu,na Braza Ditto amefariki.Hizo ndizo habari zinazovuma hapa Dar tangu asubuhi.Hii ya kifo cha Ditto niliisikia jana.Na kama ilivyo kawaida,kila mmoja anasema lake ila kwa vile… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget