Katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema nazungumzia dalili zakutimia kwa utabiri wa Mwalimu Nyerere kwamba upinzani wa kweli unaweza kutoka ndani ya CCM.Kwa namna mambo yanavyokwenda mramba ndani ya chama hicho nidhahiri kwamba kuna tofauti kubwa za kiimani na kimtazamo miongoni mwa viongozi wake.Ili kutokukunyima uhondo zaidi,bingirika na makala hiyo,pamoja na nyinginezo zilizopanda vidato,kwa KUBONYEZA HAPA
Friday, 27 June 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huu ni upuuzi uondoe bwana Chahali. Hivi wote tukiweka tujuavyo hii blog itasomeka? Jamani acheni uhuni na ushamba.Huyu anayejiita Z hatusaidii kitu kwa kuweka madude marefu hivi. Kama anajua anachosema mbona ameficha jina lake na kuweka utumbo wake. Kama ingekuwa mimi ningeufutilia mbali uchafu wake.
ReplyDelete