NINASIKITIKA KUWATANGAZIA KIFO CHA MAMA YANGU MZAZI ADELINA MAPANGO KILICHOTOKEA IFAKARA MOROGORO TAREHE 29/05/2008 NA MAZISHI YALIKUWA JANA TAREHE 02/06/2008 KATIKA MAKABURI YA UKOO WA CHAHALI HAPA IFAKARA.NAWASHUKURU NYOTE AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE MLIUNGANA NAMI KATIKA KUMUOMBEA MAMA APONE LAKINI BWANA AMEMPENDA ZAIDI NA HATIMAYE KUMREJESHA KWAKE.UKOO WA CHAHALI NA MAPANGO UNAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WENU.BWANA AMETOA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE.
Tuesday, 3 June 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POle sana kaka.
ReplyDeletePole sana Mkuu!Mungu amlaze mahali pema peponi Marehemu!
ReplyDeleteASANTENI SANA NDUGU ZANGU
ReplyDeletePole sana Evarist kwa msiba, natumaini shughuli za mazishi zilikwenda vema na sasa unajaribu kurudi kwenye self normal.
ReplyDeleteMungu ampumzishe mama mahali pema peponi na mwanga wa milele amuangazie. Amin.
Asante sana Dinah
ReplyDeletePole sana Evarist, Mungu amlaze mama pema na mwanga wa milele amwangazie.
ReplyDeleteSikuweza kuwasiliana na wewe na kukupa pole zangu kwani simu yako ya Abardeen inaita tu. Uko wapi kwa sasa?
Lucy