
Thursday, 12 February 2009

Related Posts:
Baada ya rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa TZ kulia Bungeni, Pinda aweka rekodi nyingine, aburuzwa mahakamaniHATIMAYE PINDA KUWA WA KWANZA KUBURUZWA MAHAKAMANI ...Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemfungulia mashtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kauli yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni kwamba wanaokaidi… Read More
DC AAMURU POLISI WACHAPE VIBOKO WALIMU “Ni kweli nimewachapa, mara hii nimewachapwa wakiwa wamefungiwa, wakati mwingine watachapwa hadharani.” Ni kauli ya MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Albert Mnali kuthibitisha habari kwamba aliamuru polisi mmoja kuwachapa viboko wal… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sina la kusema Kaka. Asante kwako na pole kwao. Ila ninalojiuliza ni ku wa kuna maendeleo gani aliyofanya huko Bukoba? Hivi wakianza kuweka wilaya ya kwanza mpaka ya mwisho ya kwake itakuwa ya ngapi na atachapwa na nani?
ReplyDeleteLicha ya kuwa kinyume cha haki, alichofanya huyo mkuu wa wilaya ni udhalilishaji.
Huwa nafika hapa kusoma na kuondoka kimya kimya, leo imebidi niandike maana hiyo habari kwa njia ya picha imefikisha ujumbe asilimia 101% ha ha haa, nimefurahi sana!
ReplyDeleteBado msimamo wangu ni ule ule, kuwachapa walimu haikuwa sahihi. Ipo namna ya kuadhibiana na si kukurupuka tu. DC tayari amefutwa kazi na Raisi.