...
Tuesday, 31 March 2009
Monday, 30 March 2009
10:29
Unknown
CHENGE, HAKI TANZANIA
No comments

HAYA NI MAONI YA NDUGU YANGU,BLOGA MWENZANGU DAVID MUSIKA.NAYAWASILISHA KAMA YALIVYOajali ngapi zilizowahi kutokea bila kuundiwa tume ya uchunguzi kwani hii ina nini? tena watu walikufa ni wawili tu! kule arusha,Tanga watu wangapi walikufa katika ajali na hatukusikia tume? kuna nini kinataka kufichwa...

LONDON, England (CNN) -- Leading British Cabinet minister Jacqui Smith's political future is in doubt after her husband admitted to paying for adult movies with taxpayers' money.The home secretary's husband, Richard Timney, has apologized for the "embarrassment" he caused his wife, while she has promised...
Sunday, 29 March 2009
00:39
Unknown
CRIME, WEIRD NEWS
No comments

A retired US police chief said he was robbed by “probably the dumbest criminal in Pennsylvania” at a police officers’ convention attended by 300 narcotics officers.John Comparetto said that as he came out of a stall in the men’s room, a man pointed a gun in his face and demanded money.Mr Comparetto...
Saturday, 28 March 2009
(Picha kwa hisani ya KENNEDY)Gazeti la Majira limepotea mtandaoni kwa muda mrefu sasa,na kwa akina sie tunaotegemea habari za nyumbani kupitia nakala za kielektroniki za magazeti husika mkombozi wetu mkuu amebaki Mr Kennedy.Na ni kwa kupitia tovuti yake ndipo nilikutana na version isiyopendeza ya habari...

SHAHIDI katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya sh 600,000 inayomkabili Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Mbelekese, wilayani Iramba, Singida, Iddi Mughenyi, juzi alipata kipigo kutoka kwa mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Iramba,...
Friday, 27 March 2009
(Photo credit:JIJI LA DAR)Mayor threatens legal action against street name changersSEBASTIAN MRINDOKODar es SalaamA TOP local government official in Dar es Salaam has roundly rebuked the ongoing trend of people clandestinely changing street names in the city without following proper channels, including...

Aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge (61), amewekwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar es Salaam, kwa zaidi ya saa saba baada ya kuhusishwa na ajali ya gari na bajaj ambayo imeua watu wawili. Waliokufa ni wanawake wawili ambao ndugu amejitokeza na kudai kuwa wote ni...
01:12
Unknown
A TEEN PARENT, ALFIE
4 comments

DNA tests on Alfie Patten, the 13-year-old boy who was alleged to have become a father when he was just 12, show that he not the baby girl’s actual dad.The 300-pound test was conducted on him after half a dozen boys claimed to have slept with schoolgirl pal Chantelle Stedman, 15.Although Alfie was convinced...
Thursday, 26 March 2009

Brazil’s President Luiz Inácio Lula da Silva on Thursday blamed the global economic crisis on “white people with blue eyes” and said it was wrong that black and indigenous people should pay for white people’s mistakes.Speaking in Brasília at a joint press conference with Gordon Brown, the UK prime minister,...

KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU,HATA AKIAMSHWA USINGIZINI AU AKIWA BWII KWA ULEVI,HAIINGII KICHWANI KUSIKIA HOJA ZA KIFISADI ZA KUNUNUA MITAMBO ILIYONGIZWA NCHI KITAPELI NA MAJAMBAZI WA RICHMOND NA HATIMAYE KURITHISHWA KISANII KWA WENZAO WA DOWANS.TUKIRUHUSU HILI LITOKEE,KUNA MAHALA ITAFIKA NCHI...
Wednesday, 25 March 2009
17:35
Unknown
BUNGE, HAKI NA USAWA
1 comment

YAANI HADI INATIA KIZUNGUZUNGU.HEBU SOMA HABARI IFUATAYO KISHA TUSHIRIKIANE KUJIBU MASWALI NILIYOWEKA BAADA YA HABARI HIIBunge mradi wa ulajina Mwandishi WetuWAKATI baadhi ya wabunge wakiendelea kulumbana kupitia katika vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayogusa maslahi ya taifa,imebainikawamekuwa...
Tuesday, 24 March 2009

NAKUOMBA SOMA HABARI MBILI ZIFUATAZO KISHA TUJADILI DHANA YA KULAZIMISHA UWAJIBIKAJI.KWA KIFUPI,KATIKA HABARI YA KWANZA,PAMOJA NA MAMBO MENGINE,DR SLAA ANAONYESHA KUWA CHADEMA INA USHAHIDI WA KUTOSHA KUIHUSISHA CCM NA WIZI WA EPA.KATIKA HABARI YA PILI,MWANASHERIA TINDU LISSU ANAMTAKA MKUU WA MKOA WA...
Monday, 23 March 2009
KADA maarufu wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye, amesema malumbano yanayoendelea sasa nchini ni ishara kwamba mafisadi wamejipanga kuifanya nchi isitawalike.Nape alitoa kauli hiyo jana alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu hali ya kisiasa nchini, hususani malumbano yanayoendelea sasa kati ya Mbunge wa...
Sunday, 22 March 2009
03:30
Unknown
CORRUPTION, TANESCO
No comments

As the public electricity power supply utility, Tanesco struggles with bail-out plans in order to avoid major power shedding expected to hit the nation by September this year, fresh details have emerged showing how the cash-strapped company missed a $300million power deal due to greed and battle for...
Saturday, 21 March 2009
Na Khamis Mkotya MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema orodha ya majina ya watumishi wasio waaminifu kwenye kitengo cha kudhibiti mapato bandarini (TISCAN), bado haijawasilishwa Makao Makuu kama ilivyoahidiwa na Rais Jakaya Kikwete. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Elimu kwa Walipa...
16:51
Unknown
BOT
No comments

THISDAY REPORTERDar es SalaamCONTROVERSY surrounds the mysterious disappearance of a large consignment of local currency notes with a value running into millions of Tanzanian shillings, as it was being airlifted into the country from Germany on a Qatar Airways flight.Sources within the Bank of Tanzania...
Friday, 20 March 2009
20:04
Unknown
BLACK POWER
No comments

The first black chief executive of a FTSE 100 Index company was appointed when insurer Prudential named Tidjane Thiam as its next boss...M...
Tuesday, 17 March 2009

By Mkinga MkingaThe Government is assessing the impact of the global financial crisis on the Tanzanian economy.The deputy minister for Finance and Economic Affairs, Mr Omar Yusuf Mzee, told The Citizen yesterday by phone that officials from his ministry had been dispatched to regions to talk to stakeholders...
Sunday, 15 March 2009

KIPINDI CHA INSIDE AFRICA CHA CNN WIKI HII KINA SEGMENT KUBWA KUHUSU TANZANIA.MOJA YA YALIYONIVUTIA KATIKA KIPINDI HICHO NI MAHOJIANO KATI YA RIPOTA WA CNN,DAVID MCKENZIE, NA MSANII WETU NAKAAYA SUMARI.MWANADADA ALIJIELEZA CONFIDENTLY.I WISH NINGE-RECORD VIDEO LAKINI KWA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO...
Subscribe to:
Posts (Atom)