Friday, 7 September 2012



UCHAGUZI WA JUMUIYA ZA CCM
 
Moshi (v) chaguzi zilianza rasmi tarehe 3/09 /2012 - 4/09/2012
1.    Uvccm ulfanyika terehe 29/08/2012 mwenyekiti wake aliechaguliw ani Gulaton Masiga.
2.    Wazazi tarehe 03/09/2012 mwenyekiti wake ni  sterwat lyatuu.
3.    UWT tarehe 04/09/2012  mwenyekiti wake ni  Grace Mzava
Aidha viongozi na wajumbe mbali mbali walichaguliwa na kupatikana chini ya  uongozi wa chama wilaya ya moshi (V)  Innocent Nzaba ambaye ni katibu wa  ccm wilaya na mlezi wa jumuiya Gabriel Massenga ambaye ni mwenyekiti wa ccm wilaya.
Pia katika uchaguzi huo mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio na TV Clouds Media Group cha jijini Dar es saalam Bi Sophia Kessy nae alijitosa katika uchaguzi huo kuwanaia nafasi ya uwakilishi wa UWT kwenda vijana  wilaya na kuibuka mshindi kwa kura 415 dhidi ya kura zilizopigwa 416 ambapo kura 1tu iliharibika .
Bi Sophia Kessy amesema kuwa kwa sasa ni hatua ndogo kati ya zile kubwa ambazo amepanga kujitosa na kuwania ambapo matarajio yake ya baadae ni kuwa  kiogozi wa ngazi ya juu zaidi .






BLOGU HII INATOA HONGERA NYINGI KWA SOPHIA..

Related Posts:

  • KULIKONI UGHAIBUNI-78Asalam aleykum,Nianze na nyepesi nyepesi.Majuzi,kibibi kimoja kilisherehekea “bethdei” yake ya 100 (karne hiyo!!) kwa kuvuta sigara yake ya 170,000 (naomba kusisitiza,laki moja na alfu sabini).Kikongwe hicho,Anne Langley,mkaz… Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-15KULIKONI UGHAIBUNI:Asalam aleykum,Mwaka juzi gazeti maarufu duniani la TIME lilimtangaza George W.Bush kuwa “mtu wa mwaka (2004)” –au “Person of the Year” kwa lugha ya kwa mama.Katika uchambuzi wake kuhusu Bush,gazeti hilo li… Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-79Asalam aleykum,Joji W.Bush anafahamika kama rais wa taifa lenye nguvu zaidi ulimwenguni.Lakini Bush ni maarufu pia kwa “kuchapia” maneno.Juzijuzi alimshangaza Malkia Elizabeth alipomshukuru kwa ziara yake ya “mwaka 1776”! kab… Read More
  • MTANZANIA UGHAIBUNIKwanza,samahani nyingi kwa wapendwa wa blogu hii,maana niliadimika kidogo na hakukuwa na updates zozote.Ni vijimambo tu vilivyosababisha hali hiyo,lakini nimesharejea kamili-kamili.Badala ya title ya post kuwa Kulikoni Ughaib… Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-80Asalam aleykum,Katika makala yangu iliyopita,nilizungumzia kuhusu kile ambacho wachambuzi wa siasa za kimataifa wanakiona kama kurejea kwa kasi kwa mbio za silaha (arms race) zenye uwezo mkubwa na wa kisasa zaidi kuliko hapo … Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget