Thursday, 23 May 2013










HEBU JIULIZE, LINI ULISHUHUDIA HALI KAMA HII IKITOKEA TANZANIA?

BADALA YA KUSAKA CHANZO, OUR DEAR LEADER DOKTA KIKWETE ANADAI "ATAKATA MAPEMBE" YA ANAYESABABISHA VURUGU. WELL, YEYE MWENYEWE NI PEMBE PIA KWANI UTAWALA WAKE UMEZIDI KUISUKUMA TANZANIA YETU KUELEKEA MAHALA KUSIKOFAA: UFISADI UMEKUWA KAMA SEHEMU YA MAISHA YA MTANZANIA, UDINI SIO TU UMEONGEZEKA BALI PIA UMEANZA KUWAFARAKANISHA WATANZANIA HUKU BAADHI YA WENZETU WAKIPOTEZA MAISHA YAO, UHUNI USIOELEZEKA MIONGONI MWA WATU WALIOCHAGULIWA NA KUPEWA DHAMANA YA KUWAKILISHA WATANZANIA (WABUNGE), MGAO WA UMEME USIOISHA LICHA YA AHADI KEDEKEDE KUTOKA KWA KIKWETE...MENGINE ONGEZEA MWENYEWE MSOMAJI.

NASEMA HIVI, IFIKE MAHALA KIKWETE AAMBIWE UKWELI KUWA KAMA KWELI ANA LENGO LA KUKATA PEMBE BASI AJIWEKE KANDO YEYE MWENYEWE KWANI YEYE NDIYE PEMBE KUBWA ZAIDI.

Related Posts:

  • Kauli Hizi za JK ni HatariKatika siku za hivi karibuni,Rais Jakaya Kikwete amekuwa akitoa kauli ambazo kwa namna flani zinaweza kupelekea uvunjifu wa amani.Sote tunakumbuka hotuba yake kali aliyotoa mbele ya walioitwa 'wazee wa jiji la Dar es Salaam' … Read More
  • Ah,JK Vipi Mbona Haeleweki?Kwa hakika baadhi ya kauli za Rais wetu Jakaya Kikwete zinachanganya kupita kiasi.Juzijuzi tu alisaini kwa mbwembwe sheria tuliyoambiwa imelenga kudhibiti rushwa katika chaguzi.Tukiweka kando suala la wasaidizi wake kumwingiz… Read More
  • Waziri wa JK Ashinikiza Dhamana Kwa Walokutwa na Viungo vya BinadamuMMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa kushinikiza kuachiwa kwa dhamana ndugu wawili waliokamatwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu.Taarifa hizo za waziri hu… Read More
  • JK Anatania,Tendwa Anatania,Na Siasa Zetu ni Utani MtupuOfkoz,Mtukufu Rais Jakaya Kikwete alikuwa anatania alipotetea rushwa hadharani kwa kudai takrima haikwepeki.Ndio,Rais alikuwa anatania,na ndo maana,Msajili wa Vyama vya Siasa John Tendwa amekaririwa na magazeti kadhaa akimtet… Read More
  • Jini Ndani ya Chupa...Likitoka LimetokaNadhani unamfahamu Christina Aguillera,na kama unamfahamu basi ni dhahiri utakuwa unakumbuka 'singo' yake ya kwanza kabisa Genie in a Bottle (Kama huukumbuki basi cheki video hii hapa).Ushaikumbuka?Well,lengo la makala hii si… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget