Wednesday, 5 March 2014

 
Wanasayansi wanadai kuwa wamefanikiwa kuwadunga waathirika 12 wa Ukimwi viini vya kinga ambavyo vina uwezo wa kuzuwia virusi vya ugonjwa huo. Watafiti wanadai kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuelekea kwenye matibabu kamili ya Ukimwi, ugonjwa unaomlazimu mwathirika kutumia vidonge vya kupunguza makali kwa muda wote wa uhai wake.

"Hii inaimarisha imani yetu kwamba viini vya aina ya T (T cells) vilivyorekebishwa ni ufunguo muhimu katika kuondoa haja ya mwathirika wa Ukimwi kuhitaji dawa kwa muda wote wa uhai wake..." alieleza Dkt Carl H. June, Profesa wa Richard W. Vague katika tiba za kinga katika Idara Tiba na Matibabu na Dawa za Maabara , Shule ya Madawa ya Penn's Perelman huko Philadelphia nchini Marekani.

Watafiti walitumia teknolojia inayojulikana kama "zinc finger nuclease" (ZFN)- waliyoielezea kama 'mkasi wa kimolekyuli kurekebisha viini vya T katika mfumo wa kinga mwilini ili kuiga kuongezeka kwa CCR-5-delta-32, viini vinayofahamika kwa kuwafanya baadhi ya watu wasipate Ukimwi.

Soma habari kamili HAPA (na usisite kuwasiliana nami iwapo utahitaji tasfiri)

Related Posts:

  • KULIKONI UGHAIBUNI-6KULIKONI UGHAIBUNIHabarini za huko nyumbani.Hapa shwari.Mada yangu ya leo najua dhahiri itawakera wateule wachache wa aina flani.Lakini kabla ya kuwapa somo ngoja tuongelee suala la imani na dini hapa napoishi.Nilipofika hapa… Read More
  • "Tiba ya Babu" :Mwaka Huu Mbona Mambo!!! "Babu" mwingine Aibuka RomboMwaka huu mbona mambo!!!Baada ya stori inayokamata chati kwa sasa-ya "Babu" anayedaiwa kuwa na uwezo wa kutibu maradhi kadhaa ikiwa pamoja na ukimwi (na Watanzania wamesahau kabisa habari za akina Adawi na Dowans yake)-sasa a… Read More
  • "Tiba ya Ukimwi" Monduli: DECI nyingine au Miujiza ya Mungu?Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na taarifa kuwa Mchungaji mmoja mstaafu huko Monduli,mkoani Arusha anatoa tiba ya Ukimwi kwa gharama nafuu ya shilingi 500.Inaelezwa kuwa maelfu kwa maelfu ya watu wamekuwa wakimiminika kwa Mchun… Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-72Asalam aleykum,Juzi nilipata barua-pepe kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko huko nyumbani.Huyu jamaa alikuwa akinilaumu “kirafiki” kwamba inaelekea nimeanza kuishiwa pointi za kuandika ndio maana takriban nusu ya makala yan… Read More
  • Mwaka Huu Mbona Mambo: "BABU" mwingine Aibuka MbeyaHabari na picha hii zimetumwa na mdau wa Mbeya yetu,nami naiwasilisha kama ilivyo...with no comment!Mganga mwingine wa tiba za magonjwa Sugu aliyefahamika kwa jina la Jafar Welino(17) mkazi wa mtaa wa Mianzini Kitongoji cha M… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget