Hatimaye Seneta wa Arizona (Republican) John McCain ameshinda nomination ya chama chake kugombea Urais wa Marekani baadaye mwaka huu baada ya kufanikiwa kupata delegates 1195.Kwa mujibu wa Breaking news hii ya CNN,inatarajiwa kuwa kesho (kwa saa za US of A,maana hapa tayari ni Jumatano) Rais George W.Bush atam-endorse rasmi McCain.Kazi kubwa iliyobaki mbele ya Seneta huyo ni kuwaunganisha Republicans wenzie,hususan wale wanaodai kuwa he's not conservative enough kama Rush Limbaugh,Sean Hannity,Ann Coulter na wengineo.Baada ya hapo kinafuatia kimuhemuhe cha kuingia 1600 Pennsylvania Avenue NW dhidi ya Barack Obama au Hillary Clinton.
Tuesday, 4 March 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment