
Ushaskia kuhusu political conmanship?Hebu soma kwanza habari ifuatayo kisha tujadili Spika Sitta aomba ulinzi zaidi, adai nguvu ya mafisadi inahatarisha maisha yakeSpika wa Bunge la Jamuhuri ya Muuangano wa Tanzania sasa anahofia maisha yake kutokana na vitisho vya mafisadiSpika Sitta aomba ulinzi zaidi,...