Thursday, 23 July 2009







Hiyo sio sanamu,bali "msanii" mmoja ambaye kila wikiendi anavizia mtaa ulio bize na "kuganda kama sanamu" kisha kutoa vijishara vya kuvunja mbavu.Hulazimishwi kutoa asante bali "mchango wako utathaminiwa".Ni mchanganyiko wa ubunifu na "usanii" (i.e. ujanja-ujanja wa kuishi mjini)

Huyu nae ni mtaalam wa cover versions,or sort of off.Ukiskia muziki wake pasipo kumtia machoni unaweza kudhani The Killers,Coldplay,au rockers flani wanafanya concert mtaani minus makelele ya kawaida ya rock stars.Kipaji?Usanii? Well,katika zama hizi za recession,credit crunch na vitu kama hivyo,si serikali na taasisi za fedha pekee zinazohitaji kuwa na mikakati ya kujinusuru.Nahisi "wasanii" hawa wanatumia vipaji-au ujanja ujanja-kukabiliana na hali hiyo.At the end of the day,kinacho-matter ni kono kwenda kinywani.

Related Posts:

  • GLASGOW: MJI WA RANGIPamoja na sifa zake nyingi ikiwa ni pamoja na kuwa jiji la tatu kwa ukubwa (kwa idadi ya watu idadi ya watu,nyuma ya London na Birmingham) hapa UK,Glasgow,unabeba historia ya "Simba na Yanga" za Scotland,yaani klabu mbili za … Read More
  • MGOGORO WA KIDIPLOMASIA KATIKA TAMASHA LA "FILIMBI"Kuna tamasha kubwa la kimataifa linaloendelea jijini Glasgow.Wenyewe wanaliita World Pipe Band Championships.Ni mashindano ya bendi za kupuliza filimbi kama zile za brass band (pipes).Kumejitokeza mgogoro wa kiplomasia baada … Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-71Asalam aleykum,Baada ya matukio ya hivi karibuni yaliyotuweka matumbo moto kufuatiwa mahayawani flani kuamua kuendesha kampeni yao ya kishetani ya kutaka kulipua mabomu huko London na hapo Glasgow (Waskotishi bado hawaamini … Read More
  • "WASANII" WA GLASGOWHiyo sio sanamu,bali "msanii" mmoja ambaye kila wikiendi anavizia mtaa ulio bize na "kuganda kama sanamu" kisha kutoa vijishara vya kuvunja mbavu.Hulazimishwi kutoa asante bali "mchango wako utathaminiwa".Ni mchanganyiko wa u… Read More
  • KULIKONI UGHAIBUNI-71KULIKONI UGHAIBUNI-71Asalam aleykum,Baada ya matukio ya hivi karibuni yaliyotuweka matumbo moto kufuatiwa mahayawani flani kuamua kuendesha kampeni yao ya kishetani ya kutaka kulipua mabomu huko London na hapo Glasgow (Wasko… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget