Happy birthday to the best dad I know,
A father I love and respect,
A dad who fulfills all his duties
To teach, to guide, to protect.
If everyone had such a father,
A really good dad like mine,
The world would be so much better,
It would look like God’s own design.
Hongera baba yetu philemon Chahali kwa kula chumvi nyingi na kuwa baba mwema.
ReplyDeleteAsante sana dada Yasinta
ReplyDeleteMay be nimechelewa kuweka maoni lakini niliambiwa kuwa USIPOTOA ZAWADI YA MTU KWENYE BIRTHDAY YAKE BASI MUOMBEE AIFIKIE NYINGINE UMPE. Basi nami naendelea kujivunia kuwa na wazazi wanaotupa watu muhimu kwetu, wanaolea na kukumbukwa na wanaoheshimiwa kwa yale waliyowekeza.
ReplyDeleteNi wakati wa wale walio karibu naye kujifunza na kuchota busara kutoka kwake kwani tuna hakika na mema aliyofanya kwa mema ufanyayo.
Happy Belated Birthdate Mzee Philemon Chahali