Bloga mwenzangu Lilly Melody amefiwa na mama yake. Bado sina taarifa za kutosha kuhusu tukio hili la kuhudhunisha mno.Kwa wakti huu ninawaomba wasomaji wa blogu tuungane kumwombea marehemu na kumfariji mfiwa.
Pumziko la milele, umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amen.
Pole sana Lilly
Poleni sana, Mwenyezi Mungu awatie nguvu. RIP Mama..
ReplyDelete