Friday, 31 January 2014

MOJA ya matukio makubwa duniani yaliyojiri wiki iliyopita ni kongamano la uchumi lililofanyika huko Davos, Uswizi. Kongamano hilo la kila mwaka huwakutanisha wadau mbalimbali wa uchumi wa dunia. Rais Jakaya Kikwete amekuwa akihudhuria takriban kila mwaka.Kati ya yaliyojitokeza katika kongamano hilo...

RADIO MBAO: Ninaomba kuwafahamisha kuwa mie na mwenzangu @djkvelli mkongwe wa masuala ya entertainment kama dj nchini Marekani na mmiliki wa kituo maarufu cha radio mtandaoni, RADIOMBAO, tumeunganisha nguvu, na kwa pamoja tunawaletea uzinduzi RADIOMBAO katika sura mpya. Licha ya matangazo ya radio,...

Tuesday, 28 January 2014

Wale wateja wetu wa Plus Size tumesikia kilio chenu na sasa Zurii Fashion & Beauty Boutique kuna Stock Mpya kwa ajili yenu Plus Size ladies (wale mlio jaliwa neema hahaha). Size 14-20 sasa zinaptikana ZuRii. Kuna Nguo nzuri sana na quality nzuri sana za kazini, kanisani na za mitoko.Size ndogo 8-12...

Saturday, 25 January 2014

YAYUMKINIKA kuhitimisha kuwa Tanzania yetu ni moja ya nchi rahisi kuongozwa duniani. Japo wakati mwingine urahisi huo unachangiwa na sheria dhalimu au matumizi ya ubabe yanayofanywa na dola, kwa kiasi kikubwa Watanzania ni wapole kiasi kwamba hata wakitendwa visivyo kwa muda mrefu, kwa wengi wao si...

Sunday, 19 January 2014

UCHAMBUZI WA HARAKA:Yaelekea matatizo ya uchumi wetu si miongoni mwa mambo yanayomnyima usingizi Rais Jakaya Kikwete, ndio maana amefanya kituko cha mwaka kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo nyeti. Ila mzaha huo ni wa kimkakati zaidi. CCM inahitaji fedha kwa ajili ya maandalizi...

Saturday, 18 January 2014

.......................

Friday, 17 January 2014

Makala kuhusu kifo cha shushushu mkuu wa zamani wa Rwanda, Patrick Karegeya by Evarist Chah...

KATIKA hitimisho la makala yangu iliyochapishwa wiki mbili zilizopita, iliyobeba kichwa cha habari ‘Ni mwaka wa siasa za hovyo CCM, CHADEMA, niliahidi kuendeleza utabiri wa mwaka huu 2014, kwa kuangalia anga za kimataifa.Kwa bahati nzuri, siku nne tu baada ya kuchapishwa makala hiyo, moja ya mambo niliyotabiri...

Tuesday, 14 January 2014

Gazeti maarufu la Daily Mail la hapa Uingereza limetabiri matokeo ya mechi zilizosalia katika Ligi Kuu ya England, na hatimaye bingwa wa ligi hiyo maarufu duniani.Round 30Aston Villa 1 Chelsea 2Everton 1 Cardiff 0Hull City 2 Man City 2Man Utd 1 Liverpool 1Spurs 1 Arsenal 2 Round 31Cardiff 2 Liverpool...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget