Thursday, 30 April 2009

...

The front door has barely opened before she comes running towards me beaming.'What's this?' she asks, forming fingers and thumbs into a pointy shape and peering through the gap. Before I can answer she declares: 'Equilateral triangle. Three sides the same.'Of course it is. I should have known. But then...

Wednesday, 29 April 2009

Spika wa Bunge, Samuel Sitta amesema kuna maazimio mengi ya Bunge ambayo serikali imekuwa inasuasua kuyatekeleza. Kutokana na hali hiyo, amesema katika mkutano ujao wa Bunge wa bajeti, atatekeleza wajibu wake na serikali isije kumlaumu atakapoanza kutekeleza wajibu huo.Kauli hiyo ya Spika aliitoa kutokana...

CLICK EITHER HERE OR HERE (THEY ARE BOTH INTERACTIVE ANYW...

Ex paratrooper 'waged guerrilla war and spied on neighbours'A former paratrooper waged a back garden guerrilla war against his neighbours when a petty dispute got out of hand, a court heard yesterday.Rod Scott, 64, set up a 16ft viewing platform draped in camouflage netting in his garden to observe...

Wingu la moshi jijini Dar kufuatia mlipuko wa mabomu maeneo ya Mbagala.Picha kwa hisani ya MICHUZI Na Mussa Juma, ArushaWIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, imeunda Tume ya Wataalam wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kuchunguza chanzo cha kulipuka silaha za aina mbali mbali katika ghala la...

na Ratifa Baranyikwa, DodomaWAKATI Bunge zima likimwandama Mbunge wa Karatu, Dk. Wilibrod Slaa (CHADEMA), kutokana na msimamo wake kuwa posho za wabunge ni kubwa na kutaka zipunguzwe, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameungana na wabunge wengine kwa kusema kuwa posho hizo ni ndogo na kutaka ziongezwe.Ingawa...

Tuesday, 28 April 2009

NKWAZI MHANGOSt John’s NL, CanadaAT last names are openly named! When Hon. Harrison Mwakyembe named Rostam Aziz as a suspect behind Kagoda profligacy, many scratched their heads. Some thought it was just politics. Others said: there must be something truly fishy. Others thought the government would...

YAH,WANASEMA NI SUALA LA MTIZAMO: KUSEMA GLASI IKO HALF EMPTY AU HALF FULL.HABARI MBILI ZIFUATAZO ZINADHIHIRISHA MANTIKI YA MSEMO HUO.Na Boniface MeenaUMAARUFU wa Rais Jakaya Kikwete unaonyesha kuendelea kuporomoka, kwa mujibu wa ripoti ya matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Mpango wa Utafiti...

Monday, 27 April 2009

KUNA MAMBO YANAYOTOKEA HUKO NYUMBANI YANAKERA KUPITA MFANO.HIVI HAWA WATANZANIA WENZETU WALIOKABIDHIWA DHAMANA YA KUTUONGOZA (TUKIAMINI KABISA KUWA WANA UPEO MZURI TU WA KUTAFAKARI MAMBO) WANAWEZAJE KUONGEA MAMBO YA AJABU NAMNA HII?ANYWAY,HEBU SOMA KWANZA HABARI HUSIKA KISHA TUENDELEE KUJADILI* Waziri...

Neighbours of a woman who ended up in court for her noisy love-making were savouring peace and quiet today after she was locked up accused of breaking her anti-social behaviour order. Caroline Cartwright, 48, was remanded in custody until May 5 charged with three breaches of her Asbo in just 10 days....

MOJA YA MAENEO KOROFI KATIKA BARABARA KUU WILAYANI KILOMBERO.UNGETEGEMEA VIONGOZI WA WILAYA HIYO WAELEKEZE NGUVU ZAO KWENYE KU-ADDRESS SHIDA ZA WANANCHI (KAMA HIYO YA BARABARA) BADALA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAO.HUU NI UNYAMA USIOKUBALIKA HATA CHEMBE.ANYWAY,2010 IS COMING.I HOPE UKATILI HUU WA VIONGOZI...

Sunday, 26 April 2009

KUNA kila dalili kuwa taifa halielekei pazuri hasa baada ya siku za hivi karibuni kuibuka matukio kadhaa ambayo kwa kiasi kikubwa yameishtua jamii kiasi cha kuhoji taifa linakoelekea.Matukio ya kiongozi wa nchi kudhalilishwa kwenye mtandao wa kompyuta, malumbano ya wabunge juu ya kuvuja kwa siri za...

Friday, 24 April 2009

...

DECI....DECI...DECI.NDIO GUMZO HUKO NYUMBANI.LAKINI KUNA MENGI YANAYOHITAJI TAFAKURI PANA KUHUSU SUALA HILO.TRULY YOURS NIMEJARIBU KUCHANGANUA SUALA HILO KWA UNDANI KIDOGO.ANGALIA HAPO JUU KULIA KWENYE SECTION YA AUDIO USIKIE UCHAMBUZI HUO.NIRUSHIE BARUA-PEPE TUENDELEZE MJADALA KWA MANUFAA YA TAIFA.NA KAMA NIMECHEMSHA,USISITE KUNIKOSOA.KARIBUNI SANA...

MZALENDO MMOJA AMENITUMIA UJUMBE UFUATO KWENYE E-MAIL,NAMI NAOMBA KUUWASILISHA KAMA ULIVYO: Kuna habari kwamba mmoja wa wafanyabiashara aliyetajwa na Mkurugenzi wa IPP Bwana Reginald Mengi amenunua hisa nyingi za umiliki wa kituo cha kurusha matangazo ya Television.Mfanya biashara huyo inasemekana ni...

Thursday, 23 April 2009

...

Boniface Meena na Mkinga MkingaMFANYABIASHARA maarufu nchini, Reginald Mengi jana aliamua kujitoa muhanga alipotangaza majina ya wafanyabiashara watano wenye asili ya Kiasia ambao anadai kuwa ni mafisadi papa wanaoiba mabilioni ya fedha za wananchi na kutaka wachukuliwe hatua kwa madai kuwa wataiyumbisha...

Wednesday, 22 April 2009

Na Waandishi WetuVURUGU kubwa zimeibuka katika Makao Makuu ya taasisi ya Development of Entrepreneurship for Community Initiative (Deci), wanachama wake walipokuwa wakigombea kuingia ndani ya ofisi hizo kuorodhoresha majina yao kwa ajili ya kung’oa mbegu walizopanda.Kati msongamano wa wanachama waliokuwa...

KWA MFANO KATINA GAZETI LA SANI KUNA HABARI KWAMBA MWANANCHI MMOJA ALIYEPANDA MBEGU ZENYE THAMANI YA SHS MILIONI 20 "AMEPARALAIZI" (AMEPOOZA)UPANDE MMOJA WA MWILI WAKE BAADA YA HABARI KUWA HUENDA MBEGU YAKE HIYO IKAWA "IMEOZA ARDHINI".....KIBAYA ZAIDI NI KWAMBA MBEGU HIZO (SHS MILIONI 20) ZILIKUWA NI...

Captured Somali pirates,like Abduwali Abdukhadir Muse (pictured above,smiling as he arrives on the U.S soil) are most likely to seek for asylum in the U.S. upon completion of their jail terms.Compared to the current situation in Somalia,life in a U.S. prison could most probably be perceived as a once-in-lifetime-luxury...

1 When presidents get invited to the annual Gridiron Dinner for a night of political skits among the Washington press corps, they always go. Not this one, who became the first sitting President politely to decline.2 We have had lots of canine companions on the rugs of the Oval Office, but Obama's is...

...

Monday, 20 April 2009

Shule ya Sekondari ya kutwa ya Marambo yenye wanafunzi 253 ya kidato cha Kwanza hadi cha Nne , iliyopo Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi ina mwalimu mmoja. Mkuu wa shule hiyo, Saidi Mbutuka ndiye pekee aliye shuleni hapo anayelazimika kushika nyadhifa zote.Mbutuka aliliambia gazeti hili kuwa hali...

Baraza la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) limepitisha uamuzi wa kuishirikisha Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) kuhakiki vyeti vya wote wanaoomba kuwania nafasi za kisiasa ili sifa zao kielimu zitambulike.Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Mayunga Nkunya, aliwaambia waandishi wa habari jana Dar es Salaam,...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget