Friday, 17 April 2009

KWA MUJIBU WA GAZETI LA Uhuru,KATIBU MKUU WA CCM,YUSUPH MAKAMBA,AMEAGIZA UONGOZI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE NGAZI ZA MIKOA KUANDAA MAPAMBANO YA KUMPONGEZA JK NA SERIKALI KWA KAZI NZURI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA.....
Nadhani muda si mrefu kutakuwa na tangazo jingine la kuagiza maandamano ya kupongeza mafanikio ya kutimizwa kwa ahadi ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA sambamba na pongezi za kuwabainisha wamiliki wa Kagoda.
CCM HOYEEEE!!!!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!

That's all I can say!

Habari nyingine ndani ya gazeti hilo ni pamoja na "UFISADI MALIASILI:Sh Bil 2.4 zayeyuka kiutatanishi;Mil 790 zatumika kununua pikipiki hewa;Watumishi watimuliwa,wachunguzwa"




Related Posts:

  • THE CITIZEN: JK TO ANNOUNCE BAILOUT PLANBy Costantine SebastianPresident Jakaya Kikwete is set to announce a bail out package worth billions of shillings to rescue local companies that have been hit hard by the global economic crisis.The Government's stimulus packa… Read More
  • SAUDI INVESTORS EYEING LEASING TZ FARMLANDRiyadh, April 16 - Saudi investors have asked Tanzania if they can lease 500,000 hectares of farmland mainly for rice and wheat farming as part of a plan to secure food supplies for the desert kingdom, officials said.Senior o… Read More
  • BAADA YA MKWARA KWA WAHANDISI MAFISADI,JK AWAGEUKIA WAKOPA MAZAOPresident Jakaya Kikwete yesterday pointed fingers at businessmen who for years have exploited poor farmers by buying cheap from them and selling dear on the world market, pledging measures to redress the situation.The Presid… Read More
  • HII IMEKAAJE? PICHA HII NILOPATA KWA HISANI YA MJENGWA INAMWONYESHA JK AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM HAPO IKULU.HIVI KWANINI VIKAO VYA CCM VIFANYIKIE IKULU KATIKA ZAMA HIZI ZA MFUMO WA VYAMA VINGI?KWANINI ISIWE MAKAO MAKUU YA CCM … Read More
  • MAKAMBA AAGIZA MAANDAMANO YA CCM KUPONGEZA "KAZI NZURI" DHIDI YA RUSHWA KWA MUJIBU WA GAZETI LA Uhuru,KATIBU MKUU WA CCM,YUSUPH MAKAMBA,AMEAGIZA UONGOZI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE NGAZI ZA MIKOA KUANDAA MAPAMBANO YA KUMPONGEZA JK NA SERIKALI KWA KAZI NZURI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA.....Nadhan… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget