Thursday, 31 March 2011


Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la Raia Mwema inazungumzia changamoto zinazoikabili Idara yetu ya Usalama wa Taifa (TISS).BONYEZA HAPA kuisoma pamoja na habari na makala nyingine moto moto ndani ya jarida hili makini kwa habari na uchambuzi.

3 comments:

  1. Bwana Chahali, huyu Almasi ni manamba wa CCM na mtumwa wa mawazo yake finyu. Nilichokigundua hapa ni kuwa aliguswa sana na hii article ndiyo maana ameamua kupoteza muda kuandika pumba zake hizi zilizoshiba chuki binafsi. Endelea kuwasha moto wala wala hakuna kurudi nyuma.

    ReplyDelete
  2. nashukuru sana umeongolea suala hili muhimu so called "usalama wa taifa", maelezo yote ni sahihi kabisa. katika hali ambayo inashangaza kwa chombo hiki ambacho kimekuwa sio tena kina manufaa kwa taifa hili bali ni taasisi ambayo haikidhi masilahi ya watanzania tena. taasisi hii ni sehemu ya lundo la watu wanojiita maafisa waliopata Elimu duni sana na kupewa majukumu makubwa na mhimu kwa taifa hili, kutokana na ufinyu wa elimu walizo nazo wanaona wanapewa fadhila katika nafasi walizonazo, hii ni hatari sana kwa nchi, jingine ninaloweza kusema kuwa taasisi hii imekuwa ni mkono wa KUSHOTO kwa viongozi wachafu kuandama watu wanaoelekea kutishia madaraka ya watu hao.hakuna asiye jua yanayotokea ndani na nje ya taasisi hii.kama ccm wavyodai wanatakiwa waondoe gamba lao ambavyo sio rahisi hivyo taasisi hii nayo inatakiwa itupe gamba lake na kuajiri watu kwa masilahi ya taifa. mwandishi umekuwa na dhamila ya dhati kwa nchi yetu daima ukweli utakufanya uwe huru.

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget