Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema inazungumzia namna watawala wetu wanavyoendekeza matumizi ya anasa huku wananchi wa kawaida wakizidi kuwa masikini.Bonyeza HAPA kusoma makala hiyo pamoja na habari na makala nyingine maridhawa katika jarida hili maridhawa la RAIA MWEMA.
Wednesday, 23 March 2011
20:31
Unknown
RAIA MWEMA
No comments
Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema inazungumzia namna watawala wetu wanavyoendekeza matumizi ya anasa huku wananchi wa kawaida wakizidi kuwa masikini.Bonyeza HAPA kusoma makala hiyo pamoja na habari na makala nyingine maridhawa katika jarida hili maridhawa la RAIA MWEMA.
Related Posts:
Makala yangu ktk Raia Mwema Toleo la April 6: "JK na Ahadi zake,UVCCM na jeuri yao"Makala yangu yawiki hii katika Jarida mahiri la Raia Mwema toleo la Jumatano April 6,2011 inaangalia ahadi za Rais Jakaya Kikwete na jeuri za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).Pamoja na makala hiyo (BONYEZA HAPA KUISOMA) ni haba… Read More
Makala yangu ktk Raia Mwema Toleo la April 13: "Ya watawala wetu na vilio vya wanyonge!"Katika makala yangu kwenye toleo la wiki hii la jarida mahiri la Rais Mwema nazungumzia kujihusisha kwangu na uandishi wa makala magazetini,ikiwa ni pamoja na faida na hasara zake kwangu.Kadhalika nawasilisha vilio vya wanaja… Read More
Makala Yangu Katika Jarida la Raia Mwema Wiki Hii: Kikwete na Hotuba Yenye Majibu Mepesi...Katika makala yangu ndani ya jarida mahiri la Raia Mwema toleo la wiki hii nimechambua hotuba ya Rais Kikwete ya mwisho wa mwezi Machi.Lakini pamoja na makala hiyo na nyinginezo zilizoandikwa na magwiji wa uchambuzi,pia kuna … Read More
Makala yangu Katika Jarida la Raia Mwema: "Viongozi Wetu Wanafurahia Matanuzi""Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema inazungumzia namna watawala wetu wanavyoendekeza matumizi ya anasa huku wananchi wa kawaida wakizidi kuwa masikini.Bonyeza HAPA kusoma makala hiyo pamoja na habari… Read More
Makala yangu Katika Jarida la Raia Mwema: "Usalama wa Taifa na Changamoto Mpya"Makala yangu katika toleo la wiki hii la jarida mahiri la Raia Mwema inazungumzia changamoto zinazoikabili Idara yetu ya Usalama wa Taifa (TISS).BONYEZA HAPA kuisoma pamoja na habari na makala nyingine moto moto ndani ya jari… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment