Monday, 28 May 2012

Mama mpendwa,ilikuwa siku kama yale leo,miaka minne iliyopita,uliondoka hapa duniani wakati tunakuhitaji sana.Japo miaka minne inaweza kuonekana ni muda mrefu kusahau machungu,kwangu mwanao imeshindikana.Kila siku ya Mungu ninaposali kukuombea pumziko na raha ya milele huko ulipo,hujikuta napatwa na...

Sunday, 27 May 2012

Naomba kuwaletea toleo la tatu la mfululizo wa Makala za Sauti.Kamanilivyobainisha katika matoleo mawili yaliyopita,hadi sasa bado nipo katika hatua ya majaribio.Ninafanya kila linalowezekana kupata vitendea kazi bora kabisa(ikiwa ni pamoja na softwares mwafaka) ili kukupatia wewe msikilizaji ubora...

Saturday, 26 May 2012

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Dk Wilbrod Slaa akiwahutubia wafuasi wa chama hicho leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kwenye uzinduzi wa kampeni yao ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambayo itazunguka mikoa yote ya Tanzania. Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe Chama...

 Mh. Balozi Peter Kallaghe akiwasilisha barua ya utambulisho kwa Rais wa Ireland Michael Higgins Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja  na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho Mh. Balozi Peter Kallaghe na mke wake Mama Balozi Joyce...

SHINDANO la kumsaka Miss Dar Intercollege 2012 linatarajiwa kufanyika Juni 8 kwenye ukumbi wa Sunciro, ulipo Sinza Shekilango jijini Dar es Salaam, imefahamika.Mratibu wa Shindano hilo Dina Ismail (pichani juu) alisema jana kwamba warembo watakaoshiriki shindano hilo wanaendeleza na mazoezi kwenye hoteli...

Ama kweli dunia haiishiwi vituko.Katika mazingira ya kawaida haingii akilini kusikia mganga wa kienyeji kalazwa hospitali "ya kawaida" (yaani inayotibu kwa kutumia dawa za kisasa badala ya mitishamba).Hivi,kama mganga anaweza kutibu wagongwa pasipo kutumia dawa za kisasa,iweje yeye akiugua anaenda hospitali...

Thursday, 24 May 2012

Uamuzi mgumu na ujasiri wa kisiasa Evarist ChahaliToleo la 24023 May 2012WIKI iliyopita, Rais wa Marekani, Barack Obama, aliingia kwenye vitabu vya historia ya taifa hilo kwa kuwa kiongozi wa kwanza kuunga mkono ndoa za watu wa jinsia moja. Kwa muda mrefu Obama alikuwa aidha akipinga suala hilo...

Wednesday, 23 May 2012

WEDNESDAY, MAY 23, 2012 Hukumu kesho itakuwa mahakama kuu kivukoni na sio mahakama ya kazi akibaNimepokea taarifa kwamba hukumu ya kesi ya uchaguzi dhidi ya ushindi wetu Jimbo la Ubungo kesho tarehe 24 Mei 2012 itatolewa katika Jengo la Mahakama Kuu (Kivukoni- Court No. 1) badala ya jengo ilipo...

Tuesday, 22 May 2012

Kwanza ninawashukuru wote walionipatia mchango wao wa mawazo kuhusu idea hii ya Makala za Sauti.Ninasema ASANTENI SANA.Pili,wengi wa mlionitumia maoni yenu mmezungumzia uhafifu wa sauti.Nimelifanyia kazi hilo na ndio iliyopelekea kutengeneza makal nyingine leo ili kupata mawazo kama kiwango na ubora...

Monday, 21 May 2012

Ninafanya majaribio ya kuwaletea makala zilizorekodiwa (za sauti) ambapo kama ilivyo hapa bloguni na katika makala zangu gazetini,nitakuwa nikijadili masuala mbalimbali.Ninaanza na sekta ya huduma ambapo mlengwa mkuu ni TANESCO.Nakuomba sana msomaji na msikilizaji unipatie mawazo na ushauri kuhusu wazo...

Friday, 18 May 2012

Timu ya soka ya watoto ya Biafra Kids inashiriki katikamichuano ya soka ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 17 kanda ya Kinondoni.WADOGO ZETU HAWA WANAOMBA MSAADA WA HALI NA MALI KUWAWEZESHA WAFANIKIWE KATIKA NDOTO ZAO KISOKA.UNAWEZA KUANZA KWA KUWATEMBELEA KWENYE UKURASA WAO WA Google+ UNAOPATIKANA...

Monday, 14 May 2012

BONYEZA PICHA KUINGIA KWENYE BLOGU YAEAST AFRICA HER...

Sunday, 13 May 2012

Baada ya miaka 44,Manchester City ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya EnglandGOOOOOAL: Bao la tatu na la ubingwa kutoka kwa Muajentina Sergio Aguero Kama ndoto vile,wakati kila mshabiki akidhani Man City wamepoteza nafasi ya kutwaa ubingwa,Aguero akapachika bao la tatu Aguero,ambaye ni mkwe wa gwiji la...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget