Ninafanya majaribio ya kuwaletea makala zilizorekodiwa (za sauti) ambapo kama ilivyo hapa bloguni na katika makala zangu gazetini,nitakuwa nikijadili masuala mbalimbali.Ninaanza na sekta ya huduma ambapo mlengwa mkuu ni TANESCO.Nakuomba sana msomaji na msikilizaji unipatie mawazo na ushauri kuhusu wazo hili (hata kuniambia kuwa ni wazo baya ni ushauri pia).
Toleo la kwanza (nataraji kufanya audio hizi angalau mara moja kwa wiki) ni hili hapa Natambua kuwa kiwango cha audio sio cha hali ya juu lakini toleo hili la kwanza ni la majaribio,na iwapo wasomaji mtaafiki wazo hili basi nitajitahidi kupata nyenzo bora ya kurekodia ujumbe husika.
Monday, 21 May 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sauti iko chini kidogo na sioni mahala pa kuongeza sauti hapo.
ReplyDeleteNi nzuri balai naomba upitie maoni yangu FB. Pia weka devise ya kureply kwa sauti badala ya kuandika maana ni media mbili tofauti (sauti vs andika)
ReplyDeleteSafi sana mkuu!
ReplyDelete