Mh. Balozi Peter Kallaghe akiwasilisha barua ya utambulisho kwa Rais wa Ireland Michael Higgins
Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho
Mh. Balozi Peter Kallaghe na mke wake Mama Balozi Joyce Kallaghe katika picha ya pamoja na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho
Afisa ubalozi Amos Msanjila na Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho.
Mh. Balozi Peter Kallaghe akiwa na baadhi ya watanzania waishio Dublin,
Ireland
Baadhi ya watanzania waishio Dublin wakichagua chakula kutoka kwenye menu huku maongezi yakiendelea.
Mh. Balozi Peter Kallaghe akikabidhiwa zawadi na watanzania waishio Dublin.
Mh. Peter Kallaghe, mama Balozi Joyce Kallaghe, Afisa ubalozi Amos Msanjila wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Dublin.
Picha na maelezo kwa hisani ya Jestina George Blog
0 comments:
Post a Comment