Baada ya miaka 44,Manchester City ni mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya England |
GOOOOOAL: Bao la tatu na la ubingwa kutoka kwa Muajentina Sergio Aguero |
Kama ndoto vile,wakati kila mshabiki akidhani Man City wamepoteza nafasi ya kutwaa ubingwa,Aguero akapachika bao la tatu |
Aguero,ambaye ni mkwe wa gwiji la soka duniani Diego Maradona,akiwa amevua jezi kushangilia bao lililopatikana muda wa nyongeza na lililoipa ubingwa Man City baada ya kusubiri miaka 44 |
Mario Balotelli na Edin Dzeko wakimkimbilia Aguero kumpongeza kwa kufunga bao la tatu |
Wachezaji wa Man City wakimzonga Aguero baada ya kufunga bao la tatu lililowapa ubingwa |
Kocha Mtaliano Roberto Mancini akiwa na kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya England |
Nahodha Vincent Kompany akiwa na kombe |
Uhasama kando: Mancini na Carlos Tevez wakiteta huku wameshikilia kombe |
Shabiki mkubwa wa Man City,mwanamuziki mkongwe Liam Ghallagher (ex-Osias) akisherehekea |
Furaha isiyoelezeka |
Shangwe kubwa |
Furaha tupu |
Furaha kubwa ya kutwaa ubingwa baada ya kusubiri kwa miaka 44 |
Kocha wa Man City Roberto Mancini akifurahi na wachezaji wake |
Kipa wa Man City Joe Hart akiwa amembeba mchezaji mwenzie David Silva |
Kocha wa Man United Sir Alex Ferguson akiwa haamini macho na masikio yake kuwa timu yake imepoteza ubingwa kwa wapinzani wao wa Manchester City |
Wachezaji waManchester United wakipokea habari za ushindi wa Manchester City kwa bumbuwazi |
Chanzo: Daily Mail
0 comments:
Post a Comment