Majuzi serikali imezindua 'mpango kabambe' ambapo MAWAZIRI na watendaji wa wizara mbalimbali watakaokuwa wazembe, watachekechwa na kubaki wale ambao utendaji kazi wao ni bora, baada ya kuzinduliwa kwa mpango maalumu wa kupima utendaji wa kazi wa viongozi.
Pichani ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa ambaye licha ya matokeo mabaya ya Kitano cha nne amegoma kujiuzulu, akionekana waziwazi kuchekewa na Rasi Kikwete,makamu wake Dkt Bilal na Waziri Mkuu Pinda. Kwnaini tusidhani kuwa mpango huo kabambe ni usanii tu?