Friday, 30 January 2009

Zaidi,SOMA HA...

...

Thursday, 29 January 2009

...

BONYEZA HAPA kusoma habari hiyo na nyinginezo,pamoja na makala motomo...

MWANZONI NILIPOONA KATUNI HII SIKUELEWA INAMAANISHA NINI.LAKINI BAADA YA KUSOMA KATI YA MISTARI (READING BETWEEN THE LINES) NIKAKUMBUKA SIMULIZI KUHUSU MUUNGWANA FLANI (ANAYEHUSISHWA NA UFISADI WA TWINI TAWAZ ZA BoT) KWAMBA ALIKUWA MKARIMU SANA KWA BAADHI YA AKINADADA WAREMBO NA WENYE MAJINA KIASI...

HEBU SOMA KWANZA HABARI IFUATAYO KISHA TUIJADILI PAMOJAMKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Emmanuel ole Naiko, amesema neno ufisadi linawatisha wawekezaji, hivyo kuwataka wananchi kulitumia kwa umakini hukuwakiweka uzalendo mbele.Alisema wakati taratibu za kupambana na rushwa zikiendelea,...

Wednesday, 28 January 2009

...

Iceland is set to appoint the world's first openly gay woman as interim prime minister - a former flight attendant who rose through the political ranks to become a cabinet minister...CONTI...

Tuesday, 27 January 2009

Kujichua,punyeto,puli,nk.Majina ni mengi kuhusu tendo hili ambalo inaaminika kuwa "faraja binafsi miongoni mwa wapweke wengi" japo huzungumziwa hadharani kwa nadra mno.Sasa wanasayansi wanadai kwamba kujichua (masturbation) kunaweza kuwa kinga dhidi ya kansa ya kibofu (prostate cancer) kwa walio na...

Picha kwa hisani ya BongoPicha.JAPO KANUNI MUHIMU KATIKA SHERIA INATAMKA BAYANA KUWA MTUHUMIWA ANABAKI KUWA MTUHUMIWA HADI ATAPOTIWA HATIANI,LAKINI YAYUMKINIKA KUHISI KWAMBA HUKO MITAANI ISHU YA HUYU MHESHIMIWA LIUMBA ISHATOLEWA HUKUMU ZAMANI HIZO...NA WALA HAIHUSIANI NA HIZO GHOROFA PACHA ZA BENKI...

Monday, 26 January 2009

...

Gavana wa zamani wa "Benki Kuu" ya Marekani,Allan Greenspan Rais Mstaafu wa Marekani,George W Bush Rais Mstaafu wa Marekani,Bill Clinton Waziri Mkuu wa Uingereza,Gordon BrownBonyeza HAPA kwa orodha kamili na maele...

Sunday, 25 January 2009

Hatimaye katika kukabiliana na wimbi la mauaji ya albino,Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameagiza leseni za waganga wa jadi wote zifutwe.Majuzi,Pinda alikaririwa akiagiza wananchi kuchukua sheria mkononi kwa kuwaua "wauaji wa maalbino".Hatua zote mbili zinaweza kutofanikiwa kwa vile inaelekea kana kwamba...

Friday, 23 January 2009

CLICK HERE for more on this sto...

Salaam,Tunakukaribisha www.TanzaniaYetu.com ambapo tovuti zote zinazohusu TANZANIA zinaandikishwa bure.Wako,Uongozihttp://www.tanzaniayetu.com/------------------------------------------------------------------------------------------------- Dear Sir/Madam,We sincerely welcome you to www.TanzaniaYetu.com...

KATIKA hali ya isiyo ya kawaida, Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana aliwaambia wananchi kuwa wanaoua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) pamoja vikongwe ni hawana budi kuuawa kwa kuwa wakisubiri mahakama kuwahukumu, watakuwa wanakosea.Waziri Pinda, ambaye ameanza ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye...

Thursday, 22 January 2009

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakifanya patrol hapo Mlimani (UDSM).Picha kwa hisani ya MICHUZI JR.Nilimaliza ngwe yangu hapo Mlimani (UDSM) takriban miaka kumi iliyopita.Kuna yaliyobadilika kwa kipindi cha miaka mitatu niliyokuwa hapo,na kuna mengine yamebaki kama yalivyo.Kwa kifupi sana,katika...

Monday, 19 January 2009

Friday, 16 January 2009

Pichani,ni KEZIA OBAMA-mama wa kambo wa Barack Obama-akiwa uwanja wa ndege wa Heathrow,London hapa Uingereza tayari "kukwea pipa" kuelekea Marekani kuhudhuria kuapishwa kwa mwanae hapo Jumanne ijayo.Kezi,ambaye kwa sasa anaishi Bracknell, Berkshire,aliwahi kuolewa na marehemu baba yake Rais Mteule...

Wednesday, 14 January 2009

WARNING: Very GraphicOsama bin Laden has called for Muslims to wage a holy war against Israel over the invasion of Gaza. Skip related contentThe al-Qaeda leader called for jihad in an audio tape that appeared on Islamist websites. In response, the US said it demonstrated bin Laden's isolation and it was merely an effort to raise money.The news came as United Nations Secretary-General Ban Ki Moon visited the Middle East to press for an immediate ceasefire...

...

mwanahalisi - Get more Business Docume...

Tuesday, 13 January 2009

Venance George, MorogoroBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kauli iliyotolewa juzi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kupinga oparesheni Sangara inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), si kauli ya waislamu wote.Akizungumza mjini Morogoro kwa niaba ya Kaimu...

Monday, 12 January 2009

KWANZA,SAMAHANI KWA KUPOTEA ANGANI GHAFLA.HIYO NI KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WANGU.PILI,NIMEKUTANA NA HABARI IFUATAYO KATIKA GAZETI LA MWANANCHI,NA IMEVUTA HISIA ZANGU.ISOME KWANZA KISHA TUIJADILI KIDOGOWAUMINI wa dini ya kiislam wamepinga oparesheni sangarainayoendeshwa na Chama cha...

Wednesday, 7 January 2009

Padre Privatus Karugendo amekuwa akisimulia mkasa ulisababisha yeye kusimamishwa,na hatimaye kuvuliwa,daraja la upadre.Kma nilivyoeleza katika post hii,japo sifahamiani personally na Mtumishi huyu wa Bwana,alikuwa columnist mwenzangu katika jarida la Raia Mwema hadi nilipolazimika kuchukua "sabbatical...

Tuesday, 6 January 2009

MWANGALIE MZAZI HUYU ASIYE NA AIBU KATIKA PICHA HII ILIYOPATIKANA KWA HISANI YA Father Kidevu.AMEJAWA NA TABASAMU WAKATI ANAMPELEKEA BIA MWANAE AMBAYE KWA MAKISIO HAZIDI MIAKA MITANO.TENA BIA YENYEWE NI SAFARI,AMBAYO HATA WANYWAJI SUGU WANAELEWA INAVYOMPELEKESHA MNYWAJI.INGEKUWA KWENYE NCHI ZINAZOJALI...

CLICK HERE to read more about Orgasmic childbi...

...

Picha kwa hisani ya Mjengwa.Habari hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la  Sunday Citizen.Pia,mwanablogu BWAYA ameichambua kwa undani habari hiyo ya kusikitisha.Makala za Padre Karugendo ni miongoni mwa maandiko yaliyonishawishi nami njiingize kwenye fani ya uandishi wa makala.Nahisi Kanisa Katoliki limechukua...

Monday, 5 January 2009

SOURCE:Huffington P...

ALIYEKUWA Mkuu wa Majeshi Nchini, Meja Jenerali, Robert Mboma, amesema anaamini kitambi alicho nacho kimesababisha kushindwa katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) za ubunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini.Mboma aliyasema hayo juzi wakati akiwashukuru wananchi katika uzinduzi wa kampeni za chama...

Magazeti mbalimbali ya leo huko nyumbani yameongozwa na habari za uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Mbeya Vijijini unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyezindua kampeni hizo na kufanya kila ambacho kwa muda mrefu kimekuwa adimu katika...

Sunday, 4 January 2009

Ghana's peaceful presidential election was a rare example of a functioning democracy in Africa and should be a model for the continent, African leaders and voters have said. Skip related contentMuch attention in Africa and elsewhere was focused on the Ghanaian vote after a year of political crises,...

Friday, 2 January 2009

Maelfu ya waandamanaji wanatarajiwa kuandamana baadae leo jijini London kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Wapalestina.Inakadiriwa takriban watu 20,000 watashiriki maandamano hayo yatakayowajumuisha watu maarufu kama Mbunge wa chama cha Respect,George Galloway na mwanamuziki mkongwe Annie Lennox.Picha...

Visit msnbc.com for Breaking News, World News, and News about the Econ...

Soma stori kamili HA...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget