Thursday, 29 January 2009


1 comment:

  1. Dah!! Ni kweli kuna wasanii na waimbaji. Kuna wanaoimba kwa kuwa wanataka kusisika na wanaosikika kwa kuwa wanaimba. Kuna haja ya TBS kuweka viwango vya muziki.
    Pengine hii ndio hatua ya mwanzo kuelekea mafanikio, lakini mbona wana-get worse and worse everyday? Wanajipoteza katika harakati zao za kujitafuta. Wanakuwa kama mhogo uliopikwa ukagoma kuiva na unakuwa hauliki. Ama wabakie wabichi ama wakijipika waive, lakini kuwa katikati ya ubichi na kuiva hawajulikani wako vipi na HAWALIKI. Namaanisha hawasikilizi.
    Ni mtazamo wangu tu

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget