Sikujua kama tafsiri yaweza kutokuwa sahihi namna hii Nadhani kuna "voice-overs" ambazo zimeingia pasipo kama tafsiri. Lakini nimependa utoaji wao wa taarifa. Si ule ambao unaonesha kulalia upande mmoja. Wame-inform kuliko ku-persuade kile walichotaka ulimwengu uone. Great na nashukuru kwa kuiweka hapa maana sikuwahi kuiona huko. Blessings
Sikujua kama tafsiri yaweza kutokuwa sahihi namna hii Nadhani kuna "voice-overs" ambazo zimeingia pasipo kama tafsiri. Lakini nimependa utoaji wao wa taarifa. Si ule ambao unaonesha kulalia upande mmoja. Wame-inform kuliko ku-persuade kile walichotaka ulimwengu uone.
ReplyDeleteGreat na nashukuru kwa kuiweka hapa maana sikuwahi kuiona huko.
Blessings