Brad Pitt Aigeuza Glasgow kuwa Philadelphia...angalau kwa muda Taxi za Manjano Glasgow zikitengeneza mandhari ya Philadelphia,Marekani.Yote ni maandalizi kwa ajili ya filamu ya World War Z inayorekodiwa hapa Glasgow lakini kwa minajili ya kutengeneza mandhari ya Philadelphia,Marekani. …Read More
MGOGORO WA KIDIPLOMASIA KATIKA TAMASHA LA "FILIMBI"Kuna tamasha kubwa la kimataifa linaloendelea jijini Glasgow.Wenyewe wanaliita World Pipe Band Championships.Ni mashindano ya bendi za kupuliza filimbi kama zile za brass band (pipes).Kumejitokeza mgogoro wa kiplomasia baada …Read More
"WASANII" WA GLASGOWHiyo sio sanamu,bali "msanii" mmoja ambaye kila wikiendi anavizia mtaa ulio bize na "kuganda kama sanamu" kisha kutoa vijishara vya kuvunja mbavu.Hulazimishwi kutoa asante bali "mchango wako utathaminiwa".Ni mchanganyiko wa u…Read More
0 comments:
Post a Comment