Katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema nazungumzia kuhusu tuzo ya milenia,msaada tuliopewa na Waingereza baada ya kuridhishwa kwao na "nidhamu na matumizi yetu" na sifa alizomwaga Obama kuhusu "utawala bora".Cheki makala hiyo hapa bila kusahau makala na habari nyingine motomoto ndani ya jarida hilo maridhawa.
Thursday, 7 October 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Makala nzuri sana. Ina mantiki na lugha inayotiririka vizuri.
ReplyDeleteBwana Chahali tunashukuru kwa maelezo yakinifu yanayohitajika katika Tanzania ya Leo ili watanzania tuliowengi gizani tutambue yanayoendelea duniani kwa uwazi zaidi
ReplyDelete