Tuesday, 5 October 2010
16:56
Unknown
ELIMU TANZANIA, SUBI
1 comment
Related Posts:
MAJINA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za … Read More
AJIRA MPYA ZA WALIMU ZATANGAZWA MAJINA YATOLEWAKwanza Tunapenda wasalimu wakubwa wetu Shikamoo na vijana wenzetu Mambo vipi.. Tunatambua kuwa Wanavyuo wenzetu walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu Jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao.… Read More
Makala yangu Ktk RAIA MWEMA Toleo la Feb 27,2013:"Kama Muungano wetu ni Zimbabwe na Pemba, tutarajie nini kidato cha nne?"MIONGONI mwa habari ambazo zinatawala kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini mwetu, ni matokeo ya kutisha ya mitihani ya kuhitimu kidato cha nne, ambapo zaidi ya asilimia 60 ya watahiniwa wamefeli.Ingawa matokeo hayo yame… Read More
SUBI: Ni Karne ya 21 na Hawa Ndio Wanafunzi WetuKwa hisani ya SUBI… Read More
MATOKEO YA AWAMU YA PILI YA KUJIUNGA NA VYUO MBALI MBALI TANZANIA 2011/2012 YATANGAZWA SALAM,Habari zenu wadau wote popote Duniani Tunapenda kuwasalimu wakubwa Shikamoo na tulio Umri sawa Mambo zenu!, Baada ya salamu hizi tunapenda kuwaletea habari njema sana kwa wazazi na wanafunzi ambao walikuwa wamefan… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JK amekwenda kuwahutubia walimu mkoani Ruvuma kwamba atatekeleza na kutatua matatizo yote ya walimu...Je alikuwa wapi kitpindi cha huko kutatua hayo matatizo na kwa timu ipi ya viongozi alikuwa nao ambao wanaweza kutekeleza hizo ahadi zake...
ReplyDeleteAmesahau wakati wafanyakazi walipodai ongezo la mshahara badala ya kuongea na wafanyakazi alihamua kuwaita wazee misheni town pale Dar na kutoa hotuba ya kashfa, majivuno na kejeli kwa wafanyakazi.
Na iwapo hao walimu watampigia kura JK katika mbio zake za urais basi nitaamini kwamba walimu na wafanyakazi wote umma na sekta binafsi wengine wote wanafurahia shida na karaha wanazopata katika malipo yao mishahara kiduchu na mazingira kufanyia kazi kwa ujumla