...
Saturday, 31 December 2011

Kikwete's smile says it allVyombo mbalimbali vya habari leo vimebeba picha ya Rais Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi mpya,Balozi Ombeni Sefue na mtangulizi wake Philemon Luhanjo ambaye amestaafu.Sidhani kama kuna Mtanzania asiyefahamu uhusika wa Luhanjo katika sakata la ufisadi uliofanywa...
Thursday, 29 December 2011
04:07
Unknown
Mafuriko Dar, RAIA MWEMA
No comments

Tatizo Serikali au wanaoishi mabondeni?Maafa ya mafuriko DarEvarist ChahaliMafuriko Dar es SalaamNIANZE kwa kutoa pole kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kutokana na janga la mafuriko ya wiki iliyopita. Inasikitisha kuona tunamaliza mwaka 2011 kwa majonzi, badala ya furaha (hata kama tuna vitu vichache...
Saturday, 24 December 2011
Thursday, 22 December 2011
18:43
Unknown
JK, LUBUVA
No comments

Leon BahatiRAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Mstaafu Damian Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Lewis Makame, ambaye uitumishi wake kwa umma ulimalizika Julai, mwaka huu.Amemteua pia Julius Mallaba kuwa Mkurugenzi wa NEC ili kuchukua nafasi...
16:18
Unknown
CHADEMA, Mafuriko Dar
No comments

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISALAAM ZA RAMBIRAMBI NA POLE KWA WANAFAMILIA NA WANANCHI KUHUSIANA NA JANGA LA MAFURIKO YALIYOKUMBA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBEYA NA DODOMA .Usiku wa kuamkia tarehe 20.12.2011 Maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam, Mbeya na...
15:59
Unknown
SPORAH SHOW
No comments
Hello,The Sporah Show Team Would Like To Wish You a Joyous Season and a most Prosperous and Healthy New Year.Thanks For The Support Through The Years and Keep Watching The Show. May the good times and treasures of the present become the golden memories of tomorrow.Thank You.Kind RegardsTHE SPORAH SHOW 0044 (0) 7932911205Off: 0044 (0) 2075360382Email: info@sporah.comSt Andrews WayDevons RoadBow,...
Sunday, 18 December 2011
Saturday, 17 December 2011
Wednesday, 14 December 2011
18:45
Unknown
RAIA MWEMA
No comments
Makaburu hawakufurukuta, kwa nini mnalea mafisadi?Usalama wa TaifaEvarist ChahaliUskochiKATIKA kubainisha baadhi ya changamoto zinazolikabili taifa letu baada ya miaka 50 tangu tupate uhuru, nilielezea katika makala yangu ya wiki iliyopita kuhusu ulegevu wa kiusalama na kutoa mfano hai wa namna akaunti...
18:17
Unknown
LIFE
No comments

Call off the search, Mr Perfect does not exist: Poll of 2,000 women failed to find ONE woman who was completely happy with her manLadies searching for Mr Right, look away now. The ‘perfect man’, it seems, does not exist.While many chaps have positive attributes, the majority are deeply flawed.In fact,...
Tuesday, 13 December 2011

Whoever wrote the political rulebook needs to start rewriting it. It used to be an iron maxim that voters' most vital organ was neither their head nor their heart, but their wallet. If they were suffering economically, they'd throw the incumbents out. Yet in Britain a coalition presiding over barely-there...
Subscribe to:
Posts (Atom)