Saturday, 21 April 2012
- 18:56
- Unknown
- WEIRD STUFF
- 1 comment
Keki (cupacake) iliyotengenezwa kutokana na wadudu katika chuo kikuu cha Weneningen nchini Uholanzi kuongeza protini inayopatikana kwa kula wadudu
Mshkaki wa ng'e huko Shanghai,China
Panzi kwenye keki..'.ufund'i mwingine wa kile chuo kikuu cha Uholanzi
Mishkaki ya panya waliochemshwa,anyone?Hii ni Malawi (reminds me of Saranda)
Samaki nchanga huko Peru
Wa leo leo: Panya buku huko Brazil
Nyama choma iliyotokana na nyama ya wanyama wa porini huko Cameroon.Kumbuka wanyama pori sio swala na nyati pekee,inawezekana ni Simba,Tumbili au kwa kukutia kichefuchefu zaidi,kenge,chatu au mbwa-pori
Panya waliopikwa 'kiufundi' huko China.Unaona binzari hiyo?
Fillet zilizoandaliwa 'kitaalamu' na 'kunyunyiziwa' nyuki.Sikiza,sio kwa vile nyuki wanatengeneza asali ndio imaanishe ni watamu...Anyway,kwa mapishi haya wala huwezi kudhani kuwa ni nyuki
Hakuna haja ya kwenda porini ilhali binadamu nao wanaweza 'kuzalisha bidhaa': Pichani ni jibini iliyotengenezwa kutokana na maziwa ya binadamu
CHANZO: Daily Mail
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
yuck
ReplyDelete