Inawezekana kitendawili cha vazi la taifa kinaweza kuwa kimepata mwanzo mzuri,kama si ufumbuzi kabisa.Wazo hilo limenijia baada ya kuangalia picha hii ya Rais Kikwete na huyo mwanamama wa tatu kushoto,ambapo mitindo ya mavazi yao ni yameshabihiana kwa kiasi flani hususan ukosi wa mikono.WAMEPENDEZA
Tuesday, 24 April 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment