Tuesday, 8 January 2008


Inatia uchungu,inasikitisha na inakasirisha kuona uhuni anaofanya Mwai Kibaki wa kuamua kutangaza baraza la mawaziri ilhali anafahamu fika kwamba hatua hiyo itakwaza jitihada za kutafuta amani zinazoendelea nchini humo.Nadhani Kibaki anakwepa kwa makusudi jitihada hizo kwa vile anafahamu fika zinaweza kuufichua wizi wake wa kura kwa upana zaidi.Kibaki anapaswa kutambua kuwa miongoni mwa wanaotaabika ni watu wa kabila lake,lakini naamini kwamba uchu wake wa madaraka unamfanya asijali kabisa kinachoendelea.Kama ndugu yangu Hashim wa Russia anavyoona,tatizo kubwa kabisa nchini Kenya ni kupotea kwa upendo kunakochochewa na Kibaki kuendeleza tamaa ya madaraka.

Anyway,hebu tujiliwaze kwa clip hii Where is the Love ya Black Eyed Peas

Related Posts:

  • KIBAKI ATANGAZWA MSHINDI KENYAHatimaye Mwai Kibaki ametangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu nchini Kenya.Ni rahisi kuhisi Raila Odinga ameporwa ushindi kutokana na namna matokeo ya uchaguzi huo yalivyochukua muda mrefu kuliko ilivyopaswa.Wakati matokeo ha… Read More
  • MAUAJI YA BHUTTO NA VURUGU ZA UCHAGUZI KENYAMAKALA HII ILITIOKA KWENYE GAZETI LA "MTANZANIA" LA ALHAMISI JANUARI 3,2008.Nianze kwa kutoa salamu za heri na Baraka ya mwaka mpya 2008.Kwa sie wenye imani katika dini,kufikia mwaka mpya kunapaswa kuambatana na sala na dua z… Read More
  • KIBAKI,WAHURUMIE WAKENYA WENZIOInatia uchungu,inasikitisha na inakasirisha kuona uhuni anaofanya Mwai Kibaki wa kuamua kutangaza baraza la mawaziri ilhali anafahamu fika kwamba hatua hiyo itakwaza jitihada za kutafuta amani zinazoendelea nchini humo.Nadhan… Read More
  • TALIBAN NDANI YA KENYA!!!?Nimesoma makala moja ndefu katika toleo la leo la Sunday Times (la hapa Uingereza) kuhusu hali ilivyo kwa majirani zetu wa Kenya.Kwa kweli inatisha na kusikitisha.Mauaji na ubakaji ni miongoni mwa unyama unaozidi kushamiri nc… Read More

1 comment:

  1. Hi, Evarist!

    Nimefurahi kukutana na wewe. mh!?...Lol Kukutana kupitia tovuti. Na nimefurahi sana kupata mchango wako katika kurekebisha mambo fulani fulani...na ahsante kwa comment yako...
    Inapendeza kuona kaka yetu unabidii ya kusoma! Ongeza bidii zaidi!

    -TK...

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget