Alfajiri hii nimepata barua-pepe kutoka kwa mtu mmoja anayeelekea kuumia moyo kwa namna navyoshutumu ufisadi na mafisadi.Mzembe huyo ametoa shutuma lukuki kuhusu makala zangu magazetini na humu "bloguni" kuhusiana na suala la ufisadi.Kwa kutompa ujiko aliokuwa anatafuta,nimeamua kupuuza barua-pepe hiyo na sikumjibu.Binafsi,nilikuwa natambua bayana kwamba mafisadi wameshabaini kwamba mtandao una nguvu pengine zaidi ya magazeti yetu huko nyumbani,hasa ikizingatiwa kwamba ni machache tu yaliyopo kwenye mtandao.Mapepe aliyeniandikia barua-pepe amejitahidi kadri ya uwezo wake mdogo alionao kuni-discourage kuandika chochote dhidi ya mafisadi,huku akidai kwamba sie tulio ughaibuni tuna tabia ya kujifanya tunajua kila kitu (cha ajabu ni kwamba naye anadai yuko ughaibuni,tena hapahapa Uingereza).
Sitaki kuifanya case yangu kuwa universal lakini naamini kwamba teknolojia ya habari kupitia mtandao imetokea kuwa silaha kubwa dhidi ya wanyonge na wakati huohuo ikiwa mwiba mkali dhidi ya ufisadi na mafisadi.Kuna watakaopambana nasi tunaopigia kelele ufisadi kwa vile wao ni vibaraka wa mafisadi na wengine watasigishana nasi kwa vile wao wenyewe ni mafisadi.Wito wangu kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wameamua kusimama kidete kupigania haki na usawa kwa kila Mtanzania,Mwafrika na raia wengine wa dunia wanaonaoporwa stahili zao,ni huu:kila kelele ya fisadi itafsiriwe kama full tank za mafuta ya mtambo wa kukabiliana na maovu kwenye jamii.
Kwa fisadi "wangu" Mapepe,pokea zawadi hii kutoka kwa Ludacris kwenye clip ya Get Back (Caution: explicit lyrics)

Hebu kaka sikia.
ReplyDeleteUfisadi ulio Tza ulianza kwa wajeuri.
Wajeuri walianzisha utumwa na sasa ukimwi.
Mimi sisifii ufisadi. Ufisadi na mabaya yatedwayo duniani ni ubadhilifu na unyama usio na mfano.
Zile links nilizotuma zaonyesha kwa uhakika wote ni jinsi gani kikundi hiki kimekontroll dunia nzima kuanzia dini, mahakama, mabenki, marais, intelligence. Wanatoa scholarship kwa ajili ya watu wa bongo ili waweze kutumika kwa ajili yao na ufisadi wao. Wanatengeza wapelelezi.
hiyo basi, usitishike ninapotoa ukweli huu unatisha. Kuhusu wajeuri hawa wanavyotawanya ufisadi ulimwenguni kote.
ReplyDeleteBalali ni mmoja tu kati ya wengi wafanyo ya kutisha na kusikitisha.
Ingia website hizi uone.
http://judicial-inc.biz/slave_traders_.htm,
http://judicial-inc.biz/b.lood_diamonds.htm,
http://judicial-inc.biz/J_oran_va_der_sloot_supplement.htm,
http://judicial-inc.biz/thersea_heinz_kerry_bio.htm,
http://judicial-inc.biz/1.osephardim_of_curacao.htm,
http://judicial-inc.biz/j_history_caribbean_jews.htm,
http://www.blacksandjews.com/Jews.of.Black.Holocaust.ag.html,
http://sunray22b.net/slavery.htm,
www.jewwatch.com, www.erichufschmid.net, www.iamthewitness.com, www.prothink.org.
Hallo,Evarist!
ReplyDeleteMambo vipi?...Nimefurahi kuona sasahivi imekuwa rahisi kutuma maoni kwenye blog yako bila kulazimika kuweza private email address. Ila ile pia ilikuwa njia nzuri ambayo inasaidia mtu kutoweza kuandika ujiga. Napenda blog yako, you seem to be a very smart one! Well done kaka!
Kutoka kwa,
-TK