Wednesday, 16 January 2008


Wiki iliyopita ilitawaliwa na surprises mbili:huko New Hampshire,Marekani,Hillary Clinton aliibuka mshindi kwenye primaries za chama cha Democrats,kinyume kabisa na utabiri wa awali wa waendesha kura za maoni na wachambuzi wa siasa za nchi hiyo.Na huko nyumbani,ugavana wa Daudi Balali ulitenguliwa.Wakati ili kuelewa nini kinaweza kuwa chanzo cha tofauti kati ya utabiri (kwamba Hillary angeshindwa) na matokeo (ambapo mwanamama huyo alishinda) kunahitaji upeo wa namna flani kuhusu siasa za Marekani na tabia ya chaguzi katika nchi hiyo (kwa mfano phenomenon kama Bradley effect),utenguzi wa ugavana wa Balali haukuhitaji hata short course ya uchambuzi wa siasa kubaini kwamba he had to go,pengine mapema zaidi ya wiki iliyopita.

Makala yangu ndani ya gazeti la Raia Mwema wiki hii inazungumzia surprises hizo mbili.Inakwenda mbali zaidi kwa kuhoji iwapo ufisadi uliopelekea Balali kupoteza unga wake ulihusisha mtu mmoja pekee.Kadhalika,inahitimisha kwamba kufanikiwa kwa ufisadi huo ni failure kwa TAKUKURU na jeshi la Polisi,taasisi ambazo kimsingi zilipaswa kuchukua hatua mapema kuzuia na/au kupunguza uhalifu huo.

Pamoja na makala nyingine zilizokwenda shule ndani ya Raia Mwema,bingirika na makala hiyo hapa.

Related Posts:

  • MDAHALO WA BIDEN NA PALINMdahalo kati ya running mates wa vyama vya Democrat na Republican,Joe Biden na Sarah Palin,respectively,umemalizika hivi punde.Uchambuzi wa haraka haraka unaonyesha kuwa Palin amejitahidi kufanya vizuri kuliko ilivyotarajiwa.… Read More
  • YA BALLALI,HILLARY NA OBAMA-MAKALA YA WIKI HII NDANI YA RAIA MWEMAWiki iliyopita ilitawaliwa na surprises mbili:huko New Hampshire,Marekani,Hillary Clinton aliibuka mshindi kwenye primaries za chama cha Democrats,kinyume kabisa na utabiri wa awali wa waendesha kura za maoni na wachambuzi wa… Read More
  • SWIFTBOATING OBAMA?It's every Blackman's dream to see a fellow Black person in the White House.And for that matter,every Black person has is supposed to wish Barack Obama success in his attempt to rewrite American history by becoming the first … Read More
  • MDAHALO KATI YA OBAMA NA MCCAIN:NANI KAIBUKA MSHINDI?Hatimaye mdahalo wa kwanza kati ya wagombea urais wa Marekani kwa vyama vya Democrat na Republican,Barack Obama na John McCain,respectively,umemalizika dakika chache zilizopita,mdahalo huo ulikuwa katika hatihati ya kufanyika… Read More

1 comment:

  1. Mkuu

    shukrani sana kwa kutembelea Tafakuri.

    Hiyo clip ni special kwa ajili ya babu wa mtu.

    Karibu tena kwenye TAFAKURI

    Admin

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget