Thursday, 29 January 2009
15:26
Unknown
BONGOFLAVA
1 comment
Related Posts:
Bonge la Rap ya Kisiasa (Political Rap): NUSU PEPONI NUSU KUZIMU (Video)Chuck D,mwanzilishi na kiongozi wa lilikouwa kundi maarufu la rap huko Marekani,Public Enemy,aliwahi kusema muziki wa rap ndio CNN ya mtaa.Tangu awali,muziki wa rap umekuwa ukizungumzia masuala mbalimbali yanayoikabbili jamii… Read More
Mapitio (Review) Yasiyo Rasmi ya Video za SIHITAJI MARAFIKI (Fid-Q) na MISS TANZANIA (Solo Thang)Naomba nivamie eneo ambalo ninaweza kujiita 'mgeni' (foreign territoty).Hili ni uchambuzi wa muziki,au kwa usahihi zaidi,uchambuzi wa video za muziki.Nikurejeshe nyuma kidogo.Zamani hizooo,niliwahi 'kuota' kuwa mshiriki wa mu… Read More
Urban Pulse na ASET Wanawaletea Ziara ya Msanii Diamond Hapo NovembaUrban Pulse Creative ikishirikiana na Aset Inapenda kuwataarifu wadau wote wa Music wa bongo Flava na Hip Hop kuwa imeandaa tamasha maalum linaloitwa URBAN TOUR ambapo msanii Diamond kutoka bongo anayetamba na kibao chake ch… Read More
Mwana-Bongofleva Aonyesha Njia:Ageukia KilimoMSANII mahiri katika medani ya muziki wa kizazi kipya nchini Abbas Hamisi ‘20 Pacent’ ameamua kujikita kwenye ujasiriamali ambapo sasa amejikita kwenye kilimo huko mkoani Morogoro.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi,… Read More
Fridstyle Friday: Week 7 with KALAPINA (VIDEO)Kalapina on politics, Freemasons, war, peace, Rostam, Drugs etc.More from Kalapina and kikosi http://www.reverbnation.com/tunepak/3387426Click the banner titled CHEUSI DAWA TV (FID-Q) (see the sidebar) for previous episodes o… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dah!! Ni kweli kuna wasanii na waimbaji. Kuna wanaoimba kwa kuwa wanataka kusisika na wanaosikika kwa kuwa wanaimba. Kuna haja ya TBS kuweka viwango vya muziki.
ReplyDeletePengine hii ndio hatua ya mwanzo kuelekea mafanikio, lakini mbona wana-get worse and worse everyday? Wanajipoteza katika harakati zao za kujitafuta. Wanakuwa kama mhogo uliopikwa ukagoma kuiva na unakuwa hauliki. Ama wabakie wabichi ama wakijipika waive, lakini kuwa katikati ya ubichi na kuiva hawajulikani wako vipi na HAWALIKI. Namaanisha hawasikilizi.
Ni mtazamo wangu tu